Kuondoka kwa Ally Kamwe kwahusishwa na mambo ya ushirikina mkubwa sana ulioanza kutokea ndani ya idara hivi karibuni

Wakati mwingine hakuna cha ushirikina Wala nn rejea mahubiri ya Mchungaji Hananja alivyokuwa akitoa ushuhuda juu ya kiwanja cha jirani yake kutaka kukinunua ambapo jirani yake alikuwa hataki kumuuzia alianza kumfanyia fitina za kichawi mara achinje kuku mara kuku apakwe rangi,mwisho wa siku jamaa Alikubali yaishe.Ali Komwe angekomaa tuu,na sio kukimbia
 
Daaaahh!!! Bora akimbie, maana sijui hata kama ana mtoto wa kuacha kumbukumbu, yule mzee hana kazi, na kajipanga afie Yanga.

Akianza kupigwa vyombo vya kwa Msisi, Pangani, Kigoma, na Sumbawanga, itakuwa hatari sana
 
Umenaswa tena kama mlivyonaswa kwa Aziz K
 
Uko sahihi
 
Mbona wengi wa wandishi wa habari wa tz weupe sana kichwani? Tatizo ni vyuo au?
-Kujibwetesha
-Kutopenda kazi yao
-Kutokuwa na umakini
-Kutopenda kujifunza zaidi na kuiga mazuri
-Kufanya kazi kwa mazoea tu
-Kuogopa watu/wakubwa
-Kufanya kazi kwa maelekezo na mipaka
-Ushabiki usiofuata weledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…