Kuondoka kwa Feitoto: Sasa Yanga “utopolo” hali tete

Kuondoka kwa Feitoto: Sasa Yanga “utopolo” hali tete

Hizi habari kama ni kweli,andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu.
Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu.

Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto,timu yenu ni Kama Ihefu tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sasa nani atatubebea hirizi kama Fei anaondoka?
 
Yanga ni kubwa kuliko fei angali mzize anatisha hatishi angalieni mnataka nani mwingine aondoke.
 
Hizi habari kama ni kweli, andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu.
Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu.

Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto, timu yenu ni Kama Ihefu tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tatizo la makolo mnageuza kila kitu.Nyeupe inakua nyekundu. Na nyekundu inakua Nyeusi. Sisi hatuna presha. Tunao akina fei toto zaidi ya wa5.
 
Back
Top Bottom