Kuondoka kwa Feitoto: Sasa Yanga “utopolo” hali tete

Kuondoka kwa Feitoto: Sasa Yanga “utopolo” hali tete

Utakuja kujiona umejawa na aibu kubwa kuhusu hili, Unadhani hawezi kwenda popote kwamba ni Klabu ya mzazi wake?

Ukijua kazi ya mchezaji ndo utafahamu yote haya unayoita ngonjera.
LAKINI MKUU,
Mpira si ni biashara?.. Na biashara ni kazi na ni mikataba.

Sasa katika mikataba si kila upande una haki zake?

Je haki za klabu zinaangaliwa??.. Je Simba ikiamua kumuacha Akoan kabla mkataba kuisha bila makubaliano itakuwa sawa??
 
Hizi habari kama ni kweli, andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu.
Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu.

Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto, timu yenu ni Kama Ihefu tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hata kauchawi alikuwa anakashika Feisal 😝😝😝😝 sasa mbadala wake atafutwe
 
Huyu fei unaweza mwanzisha bench na wengine wakacheza na yanga wakashinda....niambie nani alikua backup ya mbuyu kipindi ile..kama ulikua umeshakua lakni

Yanga gani ilishinda bila feisal acha uongo..

Mechi na azam:feisal kaweka zote mbili.

Mechi na kmc:feisal kaweka goli la ushindi

Mechi na kagera :katoa assist ya goli la ushindi

Mechi na prison:feisal kaweka goli la ushindi

Haya sema mechi gani mtashinda bila feisal??
 
1671956394275.jpg
 
Back
Top Bottom