Au yeye familia yake ndo ipo Morocco?Basi hata yeye mwenyewe alidanganya. Kwa mujibu wa caption yake Instagram alisema anataka kuwa karibu na familia yake.
Kwanini Sasa useme mo ndo kadanganya?? Je kama nayeye alidanganywa na kocha mwenyewe
Mungu Mbariki Kocha Shujaa aliyewahi kuwafundisha Utopolo aitwae Eymael kwa kauli yake ya kuwa "WASHABIKI WA YANGA NI UNEDUCATED" Yani mmoja wao ni huyu mleta Uzi.
Imagine Kocha kautangazia/Kaudanganya Umma kuwa amesitisha Mkataba wake na Simba kwa Matatizo ya Kifamilia then anaibuka Uto anasema MO kadanganya.
Halafu ni Muongo, kwenye issue ya Chama nimegundua hilo.
Umegunduaje?Halafu ni Muongo, kwenye issue ya Chama nimegundua hilo.
Hata kusoma na kutofautisha 20B na 20M unashindwa ndo utanishauri nifanye kazi kweli we kiazi mbatataFanya kazi hizo 20M sio za kugawana mashabiki kk
Hahahaha inawezekana aiseeAu yeye familia yake ndo ipo Morocco?
Sasa mkuu kwani haiwezekani hayo matatizo ya familia huenda ni kutokana n kipato kisichokidhi kuitunza vyema familia yake alichokuwa akilipwa simba hivyo kapata sehemu atakayopata kipato ambacho kitapunguza/kuondoa matatizo ya familia yake ndipo akavunja mkataba.ndo maana tunasema mwamedi mjanja mjanja sana kwani we hutueliwi
Sasa kwanini hakwenda Belgium?
Siku chache tu ametia Nanga Morroco
Mkuu umemaliza kila kitu. Kwa comment yako hapo inafaa kusema CASE CLOSSEDNikiconnect dot naamini Sven anachokisema yupo sahihi na hata Mo yupo sahihi.
Alisema anaondoka kwa sababu ya family na personal development....
Morocco ipo karibu sana na Europendo maana tunasema mwamedi mjanja mjanja sana kwani we hutueliwi
Sasa kwanini hakwenda Belgium?
Siku chache tu ametia Nanga Morroco
... kuwa mwili mmojaHapa naungana na wewe
Ni Renee' Weiler au?ANAKUJA KICHA WA ZAMANI WA AL ALHY MWAKA HUU LAZIMA MCHUCHUMAE UTOPOLO
Unakua mgumu kuelewa au hutaki kuelewa. Maelezo ya kocha mwenyewe kasema hicho alichosema Mudi. Sasa swala la familia ya mtu mwingine kwanini umlaumu Mudi?
Kwanini hakwenda kwao na yote hayo yeye ndo anajua kama alidanganya ili atengue mkataba au "matatizo ya kifamilia" yameisha
Hahahaha nimewaona tu walivyokuja kwa fujo kwenye huu Uzi wanaruka ruka kama mahindi ya njano yanakaangwa kutengeneza bisiUnahangaika na vyura utopolo hawaelewi na unashangaa wao ndio wanadai 20 B
Bado Kocha yuko sahihi, wabongo Kusoma na kuelewa ni mambo mawili tofauti, wengi tunajua kusoma ila kuelewa ndio mtihani, Kocha kasema kaondoka kwa sababu ya familia na personal development....
unaelewa umuhimu wa mtu kuondoka kwasababu fulani?
bay nature stuetion hata ukimuuliza mtoto mdogo atakujibu kwenye hili mlidanganywa hv unashindwa kutumia tu akili ya kawaida ulitaka Kocha awakwepe kwa'stayle ipi Kama si kuwaambia anamatatizo ya kifamilia ili akale donge nono?....
ushahidi upo uongo wa MO umekuja baada ya kutoa comment kwenye post ya Shafih dauda huko INSTAGRAM.Thibitisha unachokisema Mkuu...ukishindwa kuthibitisha hayo uyasemayo kuhusu MO na Sven yanabaki kuwa hisia zako binafsi.
ushahidi upo uongo wa MO umekuja baada ya kutoa comment kwenye post ya Shafih dauda huko INSTAGRAM.
Offer Offer hapa ndio kwenye ukweli wotee tofauti na bla bla bla!!! Mlizoaminishwa mwanzoni mwenye macho aambiwi tazama
Nikupe mfano mkeo anapokulazimisha uumpe talaka kwakisingizio fulani amekuchoka eidhaa amechoshwa na masimango ya Ndugu zako halafu siku chache anapata MUME mwengine...
Kwafano huo utapata uthibisho nishahiri dhahili Jamaa alikuzidi keteee na mkeo alikudanganya sababu kubwa alipata bwana mwengine
Hiki ndicho kilichotokea kwa kocha wa Simba na si matatizo ya kifamilia
Mo pamoja na Seven wamewadanganya kwamaslahi ya Mo asionekane kaishiwa Pesa zakumzuia kocha.....hili ni'bonge la mistake.