ushahidi upo uongo wa MO umekuja baada ya kutoa comment kwenye post ya Shafih dauda huko INSTAGRAM.
Offer Offer hapa ndio kwenye ukweli wotee tofauti na bla bla bla!!! Mlizoaminishwa mwanzoni mwenye macho aambiwi tazama
Nikupe mfano mkeo anapokulazimisha uumpe talaka kwakisingizio fulani amekuchoka eidhaa amechoshwa na masimango ya Ndugu zako halafu siku chache anapata MUME mwengine...
Kwafano huo utapata uthibisho nishahiri dhahili Jamaa alikuzidi keteee na mkeo alikudanganya sababu kubwa alipata bwana mwengine
Hiki ndicho kilichotokea kwa kocha wa Simba na si matatizo ya kifamilia
Mo pamoja na Seven wamewadanganya kwamaslahi ya Mo asionekane kaishiwa Pesa zakumzuia kocha.....hili ni'bonge la mistake.