Kuondoka kwa kocha wa Simba MO alitudanganya tatizo ni Offer imejulikana

Kuondoka kwa kocha wa Simba MO alitudanganya tatizo ni Offer imejulikana

Basi hata yeye mwenyewe alidanganya. Kwa mujibu wa caption yake Instagram alisema anataka kuwa karibu na familia yake.

Kwanini Sasa useme mo ndo kadanganya?? Je kama nayeye alidanganywa na kocha mwenyewe
Au yeye familia yake ndo ipo Morocco?
 
Mungu Mbariki Kocha Shujaa aliyewahi kuwafundisha Utopolo aitwae Eymael kwa kauli yake ya kuwa "WASHABIKI WA YANGA NI UNEDUCATED" Yani mmoja wao ni huyu mleta Uzi.

Imagine Kocha kautangazia/Kaudanganya Umma kuwa amesitisha Mkataba wake na Simba kwa Matatizo ya Kifamilia then anaibuka Uto anasema MO kadanganya.
 
Nikiconnect dot naamini Sven anachokisema yupo sahihi na hata Mo yupo sahihi.
Alisema anaondoka kwa sababu ya family na personal development.
Family anaenda kuwa karibu na Belgium anaweza kuitembelea au wao wakamtembelea kwa urahisi...muda na umbali wa kusafiri Tanzania-Belgium na Morocco-Belgium umepewa uzito mkubwa hapa.

Personal development. Kufundisha sehemu mbalimbali na kuongeza kiwango atachokuwa akilipwa bado hatuyaoni hayo. Maoni ya kuwa Mo ni janjajanja. Kwa mengine labda lakini kwa hili Sven kasema "thanks to Mo and Babra for their professionalism" sasa tunashindwaje kuielewa hii kauli Sven wanasimba walitamani lakini Mo na Babra waliamini kujenga timu chini ya falsafa zake ni process na walimpa muda kulitimiza.

After game ya platinum Sven nilimnukuu akisema "simba wants to win everything" hapo alikua anamaanisha pressure ambayo naamini inaanzia kwa mashabiki hadi benchi la ufundi na viongozi wengine ambao waliamini kufungwa mechi kunatosha kumuondosha kocha. Pressure ilikua kubwa ambayo naamini ilimuondolea hata effective participation kwa familia yake na huku mshahara ni kidogo sasa hata kama dili kubwa limetokea katika mazingira hayo nani humu angebaki.

Alivyopiga hesabu ni kuwa atavipata vyote viwili morocco yaan family na personal development sasa kwanini abaki. Kwenye upande wa uongozi naamini with exception ya MO na Babra, Sven hakuwa anafurahia wanachokifanya viongozi wengine hata kocha wake msaidizi. Ukitaka kuamini la yeye na matola fuatilia sub za mechi ya war in dar hasa ya kagere-boko na purukushani nyingine za mechi hiyo.
 
ndo maana tunasema mwamedi mjanja mjanja sana kwani we hutueliwi

Sasa kwanini hakwenda Belgium?

Siku chache tu ametia Nanga Morroco
Sasa mkuu kwani haiwezekani hayo matatizo ya familia huenda ni kutokana n kipato kisichokidhi kuitunza vyema familia yake alichokuwa akilipwa simba hivyo kapata sehemu atakayopata kipato ambacho kitapunguza/kuondoa matatizo ya familia yake ndipo akavunja mkataba.
 
Unahangaika na vyura utopolo hawaelewi na unashangaa wao ndio wanadai 20 B
Unakua mgumu kuelewa au hutaki kuelewa. Maelezo ya kocha mwenyewe kasema hicho alichosema Mudi. Sasa swala la familia ya mtu mwingine kwanini umlaumu Mudi?

Kwanini hakwenda kwao na yote hayo yeye ndo anajua kama alidanganya ili atengue mkataba au "matatizo ya kifamilia" yameisha
 
unaelewa umuhimu wa mtu kuondoka kwasababu fulani?

bay nature stuetion hata ukimuuliza mtoto mdogo atakujibu kwenye hili mlidanganywa hv unashindwa kutumia tu akili ya kawaida ulitaka Kocha awakwepe kwa'stayle ipi Kama si kuwaambia anamatatizo ya kifamilia ili akale donge nono?....

Thibitisha unachokisema Mkuu...ukishindwa kuthibitisha hayo uyasemayo kuhusu MO na Sven yanabaki kuwa hisia zako binafsi.
 
Thibitisha unachokisema Mkuu...ukishindwa kuthibitisha hayo uyasemayo kuhusu MO na Sven yanabaki kuwa hisia zako binafsi.
ushahidi upo uongo wa MO umekuja baada ya kutoa comment kwenye post ya Shafih dauda huko INSTAGRAM.

Offer Offer hapa ndio kwenye ukweli wotee tofauti na bla bla bla!!! Mlizoaminishwa mwanzoni mwenye macho aambiwi tazama

Nikupe mfano mkeo anapokulazimisha uumpe talaka kwakisingizio fulani amekuchoka eidhaa amechoshwa na masimango ya Ndugu zako halafu siku chache anapata MUME mwengine...

Kwafano huo utapata uthibisho nishahiri dhahili Jamaa alikuzidi keteee na mkeo alikudanganya sababu kubwa alipata bwana mwengine

Hiki ndicho kilichotokea kwa kocha wa Simba na si matatizo ya kifamilia

Mo pamoja na Seven wamewadanganya kwamaslahi ya Mo asionekane kaishiwa Pesa zakumzuia kocha.....hili ni'bonge la mistake.
 
Mkuu nilitegemea ungekuja na ushahidi wa 'video' au 'maandishi' ili kuthibitisha tuhuma ulizozitoa lakini naona bado hoja yako imejikita zaidi kwenye HISIA zako binafsi na si vinginevyo...pole sana kaka...taarifa rasmi itabaki kuwa Sven ameondoka Simba Sc. kwa makubaliano ya pande zote mbili husika ili ku-balance mambo yake yakifamilia na kikazi na Si vinginevyo.
 
Kama umemuona Barbra alivyoongea na waandishi wa habari kuhusu Sven kuondoka Simba, utajua kabisa kilichomleta kocha Sven Simba ni kutengezeza cv yake tu, na inavyoonekana wakala aliyemleta Simba ndio huyo huyo aliyempeleka Morocco.
 
Back
Top Bottom