Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Bado Kocha yuko sahihi, wabongo Kusoma na kuelewa ni mambo mawili tofauti, wengi tunajua kusoma ila kuelewa ndio mtihani, Kocha kasema kaondoka kwa sababu ya familia na personal development,
Familia, inajulikana kuwa kutoka Tanzania hadi Belgium ni siku 2, ila kutoka morroco hadi Belgium ni masaa 2, hamuoni kama kweli hapo atakuwa karibu na familia yake?
Personal development, hapa napo kuna tatizo? Inasemekana sven atakuwa akilipwa 80ml per month unazani Simba ingeweza kulipa mshahara huo? Hakuna team inalipa huo mshahara Africa hii tofauti na West Africa, kwa nafasi yake MO atakuwa aliweka offer yake mezani ambayo inawezekana ilikuwa kubwa sana ila sven akaona bado haitoshi au alitaka sana kuwa karibu na Familia yake, wazungu kwao familia wanaipa uzito mkubwa sana
Kwahiyo sijaona sababu ya kuilaumu Simba au Mo kama baadhi ya wachambuzi wengi walivo ishambulia Simba kwa sven kuondoka, haina maana kwamba wakati Ronaldo anatoka Man u kwenda Madrid man ilishindwa Kumlip au pep barca walishindwa kumlipa, muda mwingine watu wanataka changamoto mpya