Kuondoka kwa kocha wa Simba MO alitudanganya tatizo ni Offer imejulikana

Kuondoka kwa kocha wa Simba MO alitudanganya tatizo ni Offer imejulikana

Bado Kocha yuko sahihi, wabongo Kusoma na kuelewa ni mambo mawili tofauti, wengi tunajua kusoma ila kuelewa ndio mtihani, Kocha kasema kaondoka kwa sababu ya familia na personal development,

Familia, inajulikana kuwa kutoka Tanzania hadi Belgium ni siku 2, ila kutoka morroco hadi Belgium ni masaa 2, hamuoni kama kweli hapo atakuwa karibu na familia yake?

Personal development, hapa napo kuna tatizo? Inasemekana sven atakuwa akilipwa 80ml per month unazani Simba ingeweza kulipa mshahara huo? Hakuna team inalipa huo mshahara Africa hii tofauti na West Africa, kwa nafasi yake MO atakuwa aliweka offer yake mezani ambayo inawezekana ilikuwa kubwa sana ila sven akaona bado haitoshi au alitaka sana kuwa karibu na Familia yake, wazungu kwao familia wanaipa uzito mkubwa sana

Kwahiyo sijaona sababu ya kuilaumu Simba au Mo kama baadhi ya wachambuzi wengi walivo ishambulia Simba kwa sven kuondoka, haina maana kwamba wakati Ronaldo anatoka Man u kwenda Madrid man ilishindwa Kumlip au pep barca walishindwa kumlipa, muda mwingine watu wanataka changamoto mpya
 
Mudi pamoja na kocha ndo wamewapiga saundi ujue mudi bahili sana alipoona Morroco wamepanda Dau na yeye Pesa zake anazipenda sana akala njama na kocha ili asionekane kama kashindwa kutoa pesa
Sasa wewe UTOPOLO, mbona umeishupalia sana issue hii? Yule kocha wenu hakukosea aliposema ninyi ni ma……………ni!
 
Mo alikuwa sahihi kwa upande wake aliamini kishingo hawezi mdanganya akajali hisia zake za family kuumbe kapata dili
 
Bado Kocha yuko sahihi, wabongo Kusoma na kuelewa ni mambo mawili tofauti, wengi tunajua kusoma ila kuelewa ndio mtihani, Kocha kasema kaondoka kwa sababu ya familia na personal development,

Familia, inajulikana kuwa kutoka Tanzania hadi Belgium ni siku 2, ila kutoka morroco hadi Belgium ni masaa 2, hamuoni kama kweli hapo atakuwa karibu na familia yake?

Personal development, hapa napo kuna tatizo? Inasemekana sven atakuwa akilipwa 80ml per month unazani Simba ingeweza kulipa mshahara huo? Hakuna team inalipa huo mshahara Africa hii tofauti na West Africa, kwa nafasi yake MO atakuwa aliweka offer yake mezani ambayo inawezekana ilikuwa kubwa sana ila sven akaona bado haitoshi au alitaka sana kuwa karibu na Familia yake, wazungu kwao familia wanaipa uzito mkubwa sana

Kwahiyo sijaona sababu ya kuilaumu Simba au Mo kama baadhi ya wachambuzi wengi walivo ishambulia Simba kwa sven kuondoka, haina maana kwamba wakati Ronaldo anatoka Man u kwenda Madrid man ilishindwa Kumlip au pep barca walishindwa kumlipa, muda mwingine watu wanataka changamoto mpya

Kwa nini hakwenda Belgium kwanza ndio arudi Morocco.
 
Habari wakubwa

Moja moja twende kwenye fact awali kulikua na sinto fahamu juu ya kuondoka kwa Seven msemo wa "time will tell" umekuja na majibu kamili

Awali imeripotiwa aliondoka kwasababu matatizo ya kifamilia mambo hadharani hakuna kigugumizi Tena kwenye hili Donge Nono alilolipata Morocco kwenye Club ya FAR RABAT ndo limemkimbiza Simba

View attachment 1672994

Mo aweke Bilion zetu 20 mezani hii aibu ya mwaka hatutaki Tena bla bla bla!!!!
Manyani bana... kwahiyo yamegeuka msimamo wao kuwa kocha aliondoka kwakuwa hakutaka kuendekeza mambo ya kishirikina?

Hivi hii nchi ina timu moja tu? Kila siku tunapata habari za Simba tu? Hakuna habari za kina Ihefu na Utopolo?
 
maxresdefault.jpg
 
Tunajikumbusha
 
Attachments

  • Screenshot_20210109-211900-01.jpg
    Screenshot_20210109-211900-01.jpg
    28.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20210109-211900-02.jpg
    Screenshot_20210109-211900-02.jpg
    35.5 KB · Views: 1
Sasa bila kupewa saundi singeanzisha balaa lazima mudanganywe ili mtulie.

Sasa subiri mletewe kocha wa Bei chee ni mwendo wa 5G

Ukienda Congo unakula Hamsa ukienda Misri unakula Hamsa ukienda Sudani Hamsa Hadi akili iwakae sawa
Kwanza Nye utopolo mmefika wapi?maana haya mambo ya Simba si level zenu
 
Back
Top Bottom