Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Mkuu unahangaika Sana. na lisu, vipi mbona kama Kuna mengine pembeni ambayo sisi hatuyajui .uenyekiti tu kweli?Gentleman,
relax na ujikite kwenye hoja bila mawenge,
wajumbe wamejipanga kumshikisha adabu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ili iwe fundisho kwa wengine wenye midomo na makelele nchini π
kumpotosha mwenzio ni kitu mbaya sana
Ni muhimu unafiki wa kutumwa na CCM ukome hasa kwa LISSU kuchukua mamlaka kamili.mwisho wa unafiki chadema umewadia gentleman π
TakatakaInfact,
Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla.
Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana tuhuma na mambo ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.
Kiufupi CHADEMA itakua imepata ahuweni kubwa na muhimu sana kisiasa kwa kujitua mzigo mzito wa viongozi wasio na shukrani, ambapo Chadema imeteseka kuwabeba kwa kipindi kirefu sana.
Hata hivyo,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa CHADEMA wamejipanga kuinusuru CHADEMA Taifa kutumbukia kwenye mikono ya mabwenyenye ya magharibi kupitia kibaraka wao mwenye tamaa, mdomo na makelele mengi yasio na mpangilio π
Soma Pia:
Kila la kheri Yanga Africa dhidi ya Fountain Gate FC.
- Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
- Lissu: Sijafikiria kuhama CHADEMA kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa lakini hiyo haina maana Viongozi wake ni Malaika!
Mungu Ibariki Tanzania.
nitaandika ukweli mpaka uzoee maana hakuna namna nyingine sasa ya kudhibiti makasiriko na muhemko yako πTakataka
Dogo nimempigia simu nchimbi akuondoe kwenye payaroll ya machawa wa lumumba kwa kuwa huna mchango wa maana
Unaandika upumbavu tu
Amini Mungu pekee gentleman πNi muhimu unafiki wa kutumwa na CCM ukome hasa kwa LISSU kuchukua mamlaka kamili.
Hii itawabakiza wanachama wa CHADEMA wakitembea vifua mbele.
Na hata ningekuwa mwanachama wao ningelichana kadi yao hadharani kutokana na DHARAU walizolifanyia taifa la Tanganyika kwa kumteua mtu wanayemuita kuwa ni MLOPAKAJI wakati walituaminisha kuwa ni mtu sahihi.
Kwa hiyo uchawa ni ajira rasminitaandika ukweli mpaka uzoee maana hakuna namna nyingine sasa ya kudhibiti makasiriko na muhemko yako π
Lisu is trying to hold CHADEMA at ransome. Haya yote anayoongea anawatishia chama na viongozi wenzie kwa kujaribu kuwatia woga. Eti anaanza sasa kujitenga na maamuzi ya vikao vya chama. Alikuwa wapi wakati ule hadi asubiri uchaguzi? Kumbuka, Hivi ndivyo atakavyokuwa akibahatika kupewa kijiti. Ni mtu atakayekuwa dictator zaidi ya yule anayelenga kumuangusha. Huyu hana adabu pia. Kumbuka hata Rais wa nchi anamuita mama Abdul. Kiongozi wa nchi!TAL ni tatizo hata kwenye familia yake!
Hata familia haijaweza kumshauri na akishauriwa ni mtu WA vita!
Wajumbe,familia haijamtuma kugombea ,mkataeni !
Mtu asiye na maadil kama wewe na ambaye ni jobless anaweza andika chochote ilimradi anamtumikia kafiri kwa ujira.nitaandika ukweli mpaka uzoee maana hakuna namna nyingine sasa ya kudhibiti makasiriko na muhemko yako π
usihofu,Lisu is trying to hold CHADEMA at ransome. Haya yote anayoongea anawatishia chama na viongozi wenzie kwa kujaribu kuwatia woga. Eti anaanza sasa kujitenga na maamuzi ya vikao vya chama. Alikuwa wapi wakati ule hadi asubiri uchaguzi? Kumbuka, Hivi ndivyo atakavyokuwa akibahatika kupewa kijiti. Ni mtu atakayekuwa dictator zaidi ya yule anayelenga kumuangusha. Huyu hana adabu pia. Kumbuka hata Rais wa nchi anamuita mama Abdul. Kiongozi wa nchi!
kwamba Kibaraka na omba omba kuchangiwa la kimataifa ni yatima au chokoraa?π€£Mtu asiye na maadil kama wewe na ambaye ni jobless anaweza andika chochote ilimradi anamtumikia kafiri kwa ujira.
Hivi wew unatofauti Gani na mtoto yatima au chokoraa ambaye unafadhiliwa ili kuishi,
Kwani haukumsikia Chslamila?Watu wengine sijui huwa mnafirwa
Hapana!Amini Mungu pekee gentleman π