Pre GE2025 Kuondoka kwa Lissu CHADEMA baada ya kushindwa Uenyekiti kwa fedheha kutakifanya chama kuwa imara zaidi

Pre GE2025 Kuondoka kwa Lissu CHADEMA baada ya kushindwa Uenyekiti kwa fedheha kutakifanya chama kuwa imara zaidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman,
relax na ujikite kwenye hoja bila mawenge,

wajumbe wamejipanga kumshikisha adabu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ili iwe fundisho kwa wengine wenye midomo na makelele nchini 🐒

kumpotosha mwenzio ni kitu mbaya sana
Mkuu unahangaika Sana. na lisu, vipi mbona kama Kuna mengine pembeni ambayo sisi hatuyajui .uenyekiti tu kweli?
 
mwisho wa unafiki chadema umewadia gentleman 🐒
Ni muhimu unafiki wa kutumwa na CCM ukome hasa kwa LISSU kuchukua mamlaka kamili.
Hii itawabakiza wanachama wa CHADEMA wakitembea vifua mbele.
Na hata ningekuwa mwanachama wao ningelichana kadi yao hadharani kutokana na DHARAU walizolifanyia taifa la Tanganyika kwa kumteua mtu wanayemuita kuwa ni MLOPAKAJI wakati walituaminisha kuwa ni mtu sahihi.
 
IMG_4532.jpeg
 
Infact,

Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla.

Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana tuhuma na mambo ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.

Kiufupi CHADEMA itakua imepata ahuweni kubwa na muhimu sana kisiasa kwa kujitua mzigo mzito wa viongozi wasio na shukrani, ambapo Chadema imeteseka kuwabeba kwa kipindi kirefu sana.

Hata hivyo,

wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa CHADEMA wamejipanga kuinusuru CHADEMA Taifa kutumbukia kwenye mikono ya mabwenyenye ya magharibi kupitia kibaraka wao mwenye tamaa, mdomo na makelele mengi yasio na mpangilio 🐒

Soma Pia:
Kila la kheri Yanga Africa dhidi ya Fountain Gate FC.

Mungu Ibariki Tanzania.
Takataka

Dogo nimempigia simu nchimbi akuondoe kwenye payaroll ya machawa wa lumumba kwa kuwa huna mchango wa maana

Unaandika upumbavu tu
 
Takataka

Dogo nimempigia simu nchimbi akuondoe kwenye payaroll ya machawa wa lumumba kwa kuwa huna mchango wa maana

Unaandika upumbavu tu
nitaandika ukweli mpaka uzoee maana hakuna namna nyingine sasa ya kudhibiti makasiriko na muhemko yako 🐒
 
Ni muhimu unafiki wa kutumwa na CCM ukome hasa kwa LISSU kuchukua mamlaka kamili.
Hii itawabakiza wanachama wa CHADEMA wakitembea vifua mbele.
Na hata ningekuwa mwanachama wao ningelichana kadi yao hadharani kutokana na DHARAU walizolifanyia taifa la Tanganyika kwa kumteua mtu wanayemuita kuwa ni MLOPAKAJI wakati walituaminisha kuwa ni mtu sahihi.
Amini Mungu pekee gentleman 🐒
 
TAL ni tatizo hata kwenye familia yake!
Hata familia haijaweza kumshauri na akishauriwa ni mtu WA vita!

Wajumbe,familia haijamtuma kugombea ,mkataeni !
Lisu is trying to hold CHADEMA at ransome. Haya yote anayoongea anawatishia chama na viongozi wenzie kwa kujaribu kuwatia woga. Eti anaanza sasa kujitenga na maamuzi ya vikao vya chama. Alikuwa wapi wakati ule hadi asubiri uchaguzi? Kumbuka, Hivi ndivyo atakavyokuwa akibahatika kupewa kijiti. Ni mtu atakayekuwa dictator zaidi ya yule anayelenga kumuangusha. Huyu hana adabu pia. Kumbuka hata Rais wa nchi anamuita mama Abdul. Kiongozi wa nchi!
 
nitaandika ukweli mpaka uzoee maana hakuna namna nyingine sasa ya kudhibiti makasiriko na muhemko yako 🐒
Mtu asiye na maadil kama wewe na ambaye ni jobless anaweza andika chochote ilimradi anamtumikia kafiri kwa ujira.

Hivi wew unatofauti Gani na mtoto yatima au chokoraa ambaye unafadhiliwa ili kuishi,
 
Lisu is trying to hold CHADEMA at ransome. Haya yote anayoongea anawatishia chama na viongozi wenzie kwa kujaribu kuwatia woga. Eti anaanza sasa kujitenga na maamuzi ya vikao vya chama. Alikuwa wapi wakati ule hadi asubiri uchaguzi? Kumbuka, Hivi ndivyo atakavyokuwa akibahatika kupewa kijiti. Ni mtu atakayekuwa dictator zaidi ya yule anayelenga kumuangusha. Huyu hana adabu pia. Kumbuka hata Rais wa nchi anamuita mama Abdul. Kiongozi wa nchi!
usihofu,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema wapo jikoni wanachemsha dawa yake, Jan 22,2025 Lazima atiwe adabu ili iwe fundisho kwa wengine wenye midomo kama yeye 🐒
 
Kwahiyo ushauri wako ni kuwa TAL asiondke ili Chama kiwe dhaifu na hatimae muwe na upinzani dhaifu
 
Mtu asiye na maadil kama wewe na ambaye ni jobless anaweza andika chochote ilimradi anamtumikia kafiri kwa ujira.

Hivi wew unatofauti Gani na mtoto yatima au chokoraa ambaye unafadhiliwa ili kuishi,
kwamba Kibaraka na omba omba kuchangiwa la kimataifa ni yatima au chokoraa?🤣

Inafahamika yeye na mkewe wanaofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi, na hivi majuzi tu kwa hisia sana aliomba kuchangiwa pocket gari na pesa ya chakula, ametumia vibaya,

sasa analazimisha kwenda kula chakula kwa chairman Taifa 🤣

eti halafu anagombea uenyekiti Taifa 🤣
 
Kwahiyo ushauri wako ni kuwa TAL asiondke ili Chama kiwe dhaifu na hatimae muwe na upinzani dhaifu
ni muhimu ukazingatia hoja mahususi mezani itakusaiadia sana gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom