Infact,
Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla.
Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana tuhuma na mambo ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.
Kiufupi CHADEMA itakua imepata ahuweni kubwa na muhimu sana kisiasa kwa kujitua mzigo mzito wa viongozi wasio na shukrani, ambapo Chadema imeteseka kuwabeba kwa kipindi kirefu sana.
Hata hivyo,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa CHADEMA wamejipanga kuinusuru CHADEMA Taifa kutumbukia kwenye mikono ya mabwenyenye ya magharibi kupitia kibaraka wao mwenye tamaa, mdomo na makelele mengi yasio na mpangilio 🐒
Soma Pia:
Kila la kheri Yanga Africa dhidi ya Fountain Gate FC.
Mungu Ibariki Tanzania.