Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kama lengo ilikuwa n kuwamaliza kwa nini Waondoke bila kuwapa uwezo jeshi la Serikali?Wakibaki vipensi mnawalaumu kuwa wanawakalia waislam kwa mabavu wakitoka mnataka warudi,binadamu kweli hawana jema
Sio swala la hasara ni swala la kulinda utuMarekani katoa boko tena.. Hasara anayoipata kule haoni faida yake
Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali...
Mmarekani alinde utu wa asiye mmarekani? Basi dunia inakaribia kufika mwisho..! Labda sana sana ungeniambia Democratics hawapendi vita...!Sio swala la hasara ni swala la kulinda utu
Likiharibika ndio basi tenaHumvee za jeshi ya USA zilizotekwa na wa TALEBAN, zinatumika kusafirisha abiria wa ki AFGHAN huko vijijiniView attachment 1855524
Wale ni wahuni tu walijioficha nyuma ya kivuli cha demokrasia na Haki za binadamu.Lengo lao huwa nini hasa? Maana kama ni Ugaidi wakishika madaraka hao wahuni mambo yatakuwa yaleyale.
Kwani mbona wanawapa Ufadhili wa kijeshi Pakistan,Saudia,Egypt,Israel nk Kwa nini waitelekeze Afghanistan?
Hilo sio mchezo! lina kunywa petroli, mithili ya tembo anavokunywa maji.Likiharibika ndio basi tena
Hilo hata bure silitakiHilo sio mchezo! lina kunywa petroli, mithili ya tembo anavokunywa maji.
Mwendo wa mudifkeshen tu inatafutwa spea inayoendana nayo inadizainiwa kidogo maisha yanaendaLikiharibika ndio basi tena