Hata hao Taliban wakinyakua madaraka hakuna paradise watakayoleta katika nchi ya Afghanistan itakuwa ni kilio tu na uchumi utasambaratika kabisa.
Kutazuka tena vita vya wenyewe kwa wenyewe kama ilivyokuwa kwenye serikali yao iliyobanduliwa na Marekani, yani Afghanistan itakuwa kwenye "Anarchy" kabisa.
Utawala wowote wa kidini waga ni usanii mtupu na ni nadharia ambayo haipo. Huwezi ukaweka sheria zako za kikatili kisha ukasema eti ni za Mungu na ukalazimisha watu wazifuate huku wale wanaozisimamia pia wakiwa ni binadamu wale wale wenye mapungufu kibao, ni utapeli tu na uroho wa madaraka, hamna kitu.