Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

Jibu swali langu, je kulikuwa na vita kabla ya kuingia rasmi majeshi ya marekani huko Afghanistan?
Chanzo ni jengo la kibiashara na pentagone. Achilia mbali yule jamaa alie zikwa baharini wao walimpa hifathi, Sasa wakomae kulinda raia si kuomba wakulu kurudu.
 
Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali...
Libya, iraq, afghanistan etc
Alafu kuna mchi nado tu zimeziba pamba masikioni kuwaomba msaada wamarekani
 
Chanzo ni jengo la kibiashara na pentagone. Achilia mbali yule jamaa alie zikwa baharini wao walimpa hifathi, Sasa wakomae kulinda raia si kuomba wakulu kurudu.

Okay, kabla ya apo kulikua na vita?

Pia una uhakika gani yule waliemzika bahalini ni osama?
 
Wale tunaozisoma siasa za magharibi na mashariki ya kati nyuma ya pazia nadhani hatujiulizi kwanin Marekani karanya hvyo
 
Wale tunaozisoma siasa za magharibi na mashariki ya kati nyuma ya pazia nadhani hatujiulizi kwanin Marekani karanya hvyo
Mmarekani mjanja sana..hapo keshatengeneza mgogoro kati ya Taliban na serikali ambao anajua hauwezi kuisha leo wala kesho. Yeye kazi yake itakuwa kuuza siraha tu.
 
Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali...
Wao Taliban wanakwambia wanaikaribisha China maana wanasema China ni nchi nzuri wanaikaribisha waje kujenga nchi. Pia kiongozi wao anadai amekuwa china mara kadhaa
 
Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali.

Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake ni ombwe la kugombea madaraka huku Taleban wakionekana kuizidi serikali...
Unasikiliza kumbe propaganda za BBC ukiwauliza waAfghanstan wenyewe watakuambia kuwa Taliban sio kikundi cha kigaidi kama unavyoaminishwa na BBC na CNN bali ni chama cha ukombozi
 
Nimekusoma Boss sasa kwenye lengo lao hilo walitakiwa wawajengee uwezo wa kijeshi hao waliowaacha maana inakoelekea wataangushwa na Taleban kushika dola....
Hivi wajua kama serikali ilikua na jimbo la Kabul tu, kwingine kote Taliban ndo walikua wanatawala? Je wajua ji majeneza kiasi gani Marekani wamerudisha kwao kwa miaka iyo 20? Usidhani wajingaa kukimbia kama walibyokimbia Vietnam
 
Back
Top Bottom