Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

Hata hao Taliban wakinyakua madaraka hakuna paradise watakayoleta katika nchi ya Afghanistan itakuwa ni kilio tu na uchumi utasambaratika kabisa.

Kutazuka tena vita vya wenyewe kwa wenyewe kama ilivyokuwa kwenye serikali yao iliyobanduliwa na Marekani, yani Afghanistan itakuwa kwenye "Anarchy" kabisa.

Utawala wowote wa kidini waga ni usanii mtupu na ni nadharia ambayo haipo. Huwezi ukaweka sheria zako za kikatili kisha ukasema eti ni za Mungu na ukalazimisha watu wazifuate huku wale wanaozisimamia pia wakiwa ni binadamu wale wale wenye mapungufu kibao, ni utapeli tu na uroho wa madaraka, hamna kitu.
 
Lakini hawa jamaa WA Kabul walitaka marekani iondoke maaana walichoka uwepo wao kumbe ndio wanajichochea Moto mkubwa
 
Nimekusoma Boss sasa kwenye lengo lao hilo walitakiwa wawajengee uwezo wa kijeshi hao waliowaacha maana inakoelekea wataangushwa na Taleban kushika dola.

Hapo sasa itategemea mtizamo wa Taleban wa sera za nje kama itakuwa ni kulea Akina Osama wengine au laa.

Hao ngoja tuu wapeane moto wakimchoka watatulia .
 
Biden kafanya makosa makubwa sana kuondoka Afghanistan.

 
Aiseee
 
1.Sehemu nyingi ambapo hii 'Sharia' inakuwa established huwa inazalisha wakimbizi wengi wakiikimbia hiyo 'Sharia'
2.Sehem nyingi walipokimbilia hawa wakimbizi wa 'Sharia' huwa wakiwa wengi wanadai Sharia iwe established eneo hilo.

Hence the connundrum
 
Akili zao wanazijua wenyewe hawa waja wa Allah
 

Vita ya taliban na serikali ilitokana na nani? Kabla ya ujio wa marekani kulikuwepo na vita katika ardhi yao?
 
Lengo lao huwa nini hasa? Maana kama ni Ugaidi wakishika madaraka hao wahuni mambo yatakuwa yaleyale.

Kwani mbona wanawapa Ufadhili wa kijeshi Pakistan,Saudia,Egypt,Israel nk Kwa nini waitelekeze Afghanistan?

Hivi kwanini neno ugaidi linatumika dhidi ya waislamu tu? Huko afrika ya kusini yanayotokea sio ugaidi?
 
Usichokijua ni kwamba

Taleban=USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…