Kuonesha zana na silaha za kijeshi mbele ya umma sio kuweka hadharani siri za taifa letu kwa maadui?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
 
Hizo ni za kuonyeshea na sio zile za kupambana we uoni nyingi ni za kizamani, angalia hata sherehe za miaka ya nyuma ni hizo hizo.
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
China huonesha, USA Huonesha fatilia
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani...
Nadhani wewe ni mshamba top 3. Tumia simu yako kucheck YouTube maonesho ya siraha US, China, German, Russia na mataifa yote ujuayo. Yapo Tele Tena sio hivi vidude vyetu vya Enzi za zama za Mang'ung'o wa Msovelo. Kule wanaonesha madude mpk unahisi harufu ya vita!!
 
Kuelimishana sio mpaka ulete kashfa we pimbi
 
Google ili ujiridhishe Kama mawazo yako Yana ukweli wowote.
Kuna paredi za maonyesho za kufa mtu hasa Urusi,uchina, korea zote hizo nichache na wanaonyesha mitambo usiombe.
Yap,hiyo kitu upo sahihi. Nimewahi ona habari juu ya maonesho ya jeshi la Urusi.
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Pumbavu na nusu. Kojoa ukalale
 
Hivi wale makomandoo waliounganishwa kwenye kesi ya ugaidi na Mbowe walikuwa wakilitumikia jeshi hili hili
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani...
Siri gani wakati aliyekuuzia anakujawa A to Z hata spare unaagiza kutoka kwake unatengeneza nini? watu wanakupiga picha toka juu huku wanakuona kila unachofanya huku siri ya nini?

Swali lako lingekuwa je kusheherekea uhuru wa miaka 60 ni kuonesha jeshi tu ndio ilikuwa lengo la uhuru au? ujinga wa nchi zetu watu wanaonesha tech mpya sisi bado tuna mawazo ya kina Jong Hu wa North korea kuonesha jeshi.
 
Google ili ujiridhishe Kama mawazo yako Yana ukweli wowote.
Kuna paredi za maonyesho za kufa mtu hasa Urusi,uchina, korea zote hizo nichache na wanaonyesha mitambo usiombe.
Wale wanatengeneza wenyewe wewe unatengeneza nini panga?
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
mbn nchi nyingi Asia Ulaya na America wanaonesha silaha zao
 
Japo kwa kwetu hapa sioni mantiki sana ya maonesho haya. Nadhani CCM wanayatumia zaidi for domestic intimidation hasa kwa wapinzani. Wakisahau kwamba hilo ni jeshi la wananchi wote na hizo ni silaha za kuwalinda wananchi wote.
 
Kwa lugha ya kitaalamu tunaweza kusema mwamba kajipakata
 
China huonesha, USA Huonesha fatilia
Polisi huonyesha wazi kila site pia hawafichi. Mhalifu Akiziona somo linamwingia barabara

Chadema wakiona Gari za washawasha na Polisi wenye bunduki, mabomu na virungu wazi huwa wanaelewa somo haraka na kuwa watulivu na kutii bila shuruti
 
Back
Top Bottom