Kuonesha zana na silaha za kijeshi mbele ya umma sio kuweka hadharani siri za taifa letu kwa maadui?

Google ili ujiridhishe Kama mawazo yako Yana ukweli wowote.
Kuna paredi za maonyesho za kufa mtu hasa Urusi,uchina, korea zote hizo nichache na wanaonyesha mitambo usiombe.
Urusi, China, Korea etc wanaonyesha silaha zao walizounda, kama juzi Urusi wameonyesha ndege yao mpya kabisa ambayo tishio hata kwa Marekani... Sasa sisi lengo la kuonyesha ni nini hasa??
 
Mkuu unaishi sayari gani? Au gamboshi?

Kuonyeshwa tu hizo silaha zilizomng'oa Idd Amin unalalamika?[emoji28][emoji28][emoji28]

Wanaopigana ndiyo wameonesha wewe unaogopa nini?
 
Urusi, China, Korea etc wanaonyesha silaha zao walizounda, kama juzi Urusi wameonyesha ndege yao mpya kabisa ambayo tishio hata kwa Marekani... Sasa sisi lengo la kuonyesha ni nini hasa??
Wewe hujaona gari la delaya lililoundwa nyumbu?
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Kwanza elewa hizo silaha hujazitengeneza wewe, ulizinunua.

Hivyo, kwa dunia ya sasa silaha unazomiliki siyo siri kinachobaki kuwa siri Ni mbinu za medani za wapiganaji wako. Hiyo ndiyo siri. Vifaa mpaka vingine tenda zinatangazwa mtandaoni.

Tatu Ni km mdau mmoja amesema kuwa silaha wanazotumia kwenye hiyo sherehe Ni zile tu za kawaida ambazo hata zimepitwa na wakati.
 
sio jambo geni...ni utamaduni wa kawaida duniani....ila sio kweli kama unaonyeshwa mamisuli.... ni North korea pekee anayefyatua makombora na kufanya military marching ya kutisha pamoja na baba yao China na Urusi...hizi huwa ni akili za kijamaa
 
Mtu pekee mwenye mamiguvu duniani ni yule anayetengeza masilaha mwenyewe...wengine wote mnaonunua ni wachumba tu..
 
Kuonesha silaha ni kawaida sana. Nchi nyingi zinaonesha.
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Wewe ni mshamba wa wapi? Huonagi China,Korea,Urusi,Irani nk kwenye maonyesho yao ya silaha?
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Adui mkubwa kwenye taifa letu ni mmoja tu CCM
 
Wewe Nyankurungu ni mjinga mkubwa na umebeba chuki dhidi ya serikali ya sasa ! Yamkini utakuwa kati ya wale waliokuwa wanafaidika na utawala uliopita . Kila nchi duniani hufanya maonesho ya silaha hakuna cha ajabu hapo
 
Huna akili
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?

Acha woga

Intelligensia ya nchi hii haiwezi fanya kitu kitakachoathiri usalama wa taifa letu

Mungu ibariki Tanzania
 
Ndugu zangu angalieni chuki kwa Mama zisije wapa magonjwa.

Maana mnakosoa mpaka vitu vilivyoanza awamu ya kwanza kisa haumpendi Samia!

Kama haupendezwi naye sio kosa. Sio lazima watu wote wampende!

Angalia maisha yako au shabikia Simba na Yanga siku ziende!
 
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.

Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.

Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Achauoga kijana tukovizuri amini hivyo.
 
Back
Top Bottom