Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Hii mada inahusiana vipi na kumkosoa mama? FoolNdugu zangu angalieni chuki kwa Mama zisije wapa magonjwa.
Maana mnakosoa mpaka vitu vilivyoanza awamu ya kwanza kisa haumpendi Samia!
Kama haupendezwi naye sio kosa. Sio lazima watu wote wampende!
Angalia maisha yako au shabikia Simba na Yanga siku ziende!