Urusi, China, Korea etc wanaonyesha silaha zao walizounda, kama juzi Urusi wameonyesha ndege yao mpya kabisa ambayo tishio hata kwa Marekani... Sasa sisi lengo la kuonyesha ni nini hasa??Google ili ujiridhishe Kama mawazo yako Yana ukweli wowote.
Kuna paredi za maonyesho za kufa mtu hasa Urusi,uchina, korea zote hizo nichache na wanaonyesha mitambo usiombe.
Lazima nione?Huyu jamaa sijui wa wapi huyu eti hujawai kuona USA na UK..ebu fatilia bhana uje tena kwenye uzi wako.
Wewe hujaona gari la delaya lililoundwa nyumbu?Urusi, China, Korea etc wanaonyesha silaha zao walizounda, kama juzi Urusi wameonyesha ndege yao mpya kabisa ambayo tishio hata kwa Marekani... Sasa sisi lengo la kuonyesha ni nini hasa??
Kwanza elewa hizo silaha hujazitengeneza wewe, ulizinunua.Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.
Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.
Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Umequote Trump..kuonyesha silaha ni USHAMBA.
Wewe ni mshamba wa wapi? Huonagi China,Korea,Urusi,Irani nk kwenye maonyesho yao ya silaha?Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.
Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.
Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Adui mkubwa kwenye taifa letu ni mmoja tu CCMSijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.
Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.
Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Ungetaka elimu ungekuja na swali na sio kuja na conclusion! Ukifuatilia post zako humu ndani zimejaa ushamba kama kawaida ya watu wengi wa kabila lile , chuki na kijiba cha roho mbayaKuelimishana sio mpaka ulete kashfa we pimbi
Huna akiliUngetaka elimu ungekuja na swali na sio kuja na conclusion! Ukifuatilia post zako humu ndani zimejaa ushamba kama kawaida ya watu wengi wa kabila lile , chuki na kijiba cha roho mbaya
Huna akiliWewe Nyankurungu ni mjinga mkubwa na umebeba chuki dhidi ya serikali ya sasa ! Yamkini utakuwa kati ya wale waliokuwa wanafaidika na utawala uliopita . Kila nchi duniani hufanya maonesho ya silaha hakuna cha ajabu hapo
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.
Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.
Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Achauoga kijana tukovizuri amini hivyo.Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.
Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.
Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?