Kuonesha zana na silaha za kijeshi mbele ya umma sio kuweka hadharani siri za taifa letu kwa maadui?

Hii mada inahusiana vipi na kumkosoa mama? Fool
 
Hao wachovu Hamna Kitu, Bora akina Kingai, wakakamavu
 
Ogopesha watu siasa afrika ni chafu na huo ndo uchafu wenyewe
 
Ingekuwa hivyo kila mmoja angejua kutengeneza cocacola
 
sio jambo geni...ni utamaduni wa kawaida duniani....ila sio kweli kama unaonyeshwa mamisuli.... ni North korea pekee anayefyatua makombora na kufanya military marching ya kutisha pamoja na baba yao China na Urusi...hizi huwa ni akili za kijamaa
Hawa wanafanya kusend meseji kwa USA kwamba tumefikia hatua hii , sisi ni wenzako. Tuna misuli km wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…