Bhebhe naho a masala madooKitu kimoja ambacho hujakijua ni kuwa hata wasukuma wenyewe wanajijua kuwa wao ni washamba...
I'd like to disagree, or to differ, kuongea kilugha ni kudumisha mila!.Sikumbuki ni lini Mwl. Nyerere alihutubia taifa kwenye jukwaa na mbele ya kamera kwa kuchanganya na Kizanaki, na wala sijawahi kumsikia Mzee Mwinyi wala Mkapa wakifanya hivyo wala watu wao. WAliamini kuwa kwa kufanya hivyo ni kutamani siasa za ukabila na kufukua hisia za kikabila nchini.
Nimewahi kumuona Mh. Shibuda juzijuzi akiongea Kisukuma kitupu wakati alipopewa nafasi ya kusalimia kwenye mkutano ambao ulikuwa wa public ambao pia ulikuwa unafuatiliwa na hata watu wasiofahamu lugha ya Kisukuma na bila kupewa onyo.
Wasiwasi wangu ni watu kuutamani mtaji wa kikabila ambao Nyerere alisema ni dalili za mtu kufilisika kisiasa.
Hebu turudini kwenye mstari aliouacha baba wa taifa.
Kwa upofu mlionao utaolewa awamu hii hata wanaume wenzio,mnataka kuaminisha watu kuwa ninyi ni wasukuma ili hali kila mtu anajua kuwa ninyi ni wa nchi jirani.Huhuru. Kenyata mwenyewe Akiwa anahutubia kwao huwa anaongea kiruga ivyo si jambo geni
Sent using Jamii Forums mobile app
Je,huyo Uhuru Kenyatta ndiyo rode model wenu?Ukabila wa nchi yetu unatengenezwa kimkakati kama sehemu ya kampeni.Wameshasema kura za Kanda ya Ziwa zinatosha kumpa Urais wa Tanzania,ndiyo maana wanalazimisha miradi mikubwa isiyo na tija kanda pendwa.Huhuru. Kenyata mwenyewe Akiwa anahutubia kwao huwa anaongea kiruga ivyo si jambo geni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu wanataka tuwaelewe kwamba ni wakabila na hivyo ndivyo wanavyojipambanua kuwa ndivyo walivyo.
Uzuri ni kwamba hawawezi tena kututumbukiza kwenye athari za ukabila, kwa sababu uwezo huo hawana.
Wapinzani inafaa waanze kulisemea hili jambo watu walielewe vizuri.
Kenya wanatafunwa na ukabila, mtaji wa Uhuru ni kura za wakikuyu. Je na sisi ndio tuelekee huko? Wasukuma ni wakikuyu wa Kenya Kwa wingi. Hivyo ukipata kura za wasukuma wote lazima utawashinda wapinzani wakoHuhuru. Kenyata mwenyewe Akiwa anahutubia kwao huwa anaongea kiruga ivyo si jambo geni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiwasi wangu ni watu kuutamani mtaji wa kikabila ambao Nyerere alisema ni dalili za mtu kufilisika kisiasa