ROMUARD KYARUZI
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 683
- 465
Ukabila,udini ,ubinafsi sio tunu za taifa la Tanzania tuepukane navyo
Halafu kuanzia kidato cha kwanza mpaka chuo kikuu ni kiingereza, inaelekea ulipofika darasa la saba ukagoma kuendelea na masomo maana huko ni kimombo tu.Cha nini hicho, ki English ni lugha ya watu wa mataifa ya mbali, tukomae kwenye lugha zetu za hapa hapa, piga Kisukuma, Kinyamwezi, Kiswahili kwa raha zako.
Mchina, Mwarabu au hata Muingereza akija mpe mkalimani, mbona mtaendana tu.
Bw Ibrahim, kenya wanapiga kura kikabila, hata ukiwa kiziwi na kipofu lakini kabila lako likiamrishwa na wazee na machifu basi watakupifia kura. Jee tunakaribisha kura za kilabila?Huhuru. Kenyata mwenyewe Akiwa anahutubia kwao huwa anaongea kiruga ivyo si jambo geni
Sent using Jamii Forums mobile app
I'd like to disagree, or to differ, kuongea kilugha ni kudumisha mila!.
Tena kwa kukusaidia tuu, kanuni za kampeni zinakataza kuhutubia kwa lugha za kikabila.
Tembelea hapa ushuhudie wakabila wakihutubia kikabila tena kwenye kampeni rasmi ambapo kukampeni kikabila hakuruhusiwi na watu walikampeni kikabila and no one said anything.
![]()
Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi
hivi karibuni nilisoma makala ya adam lusekelo, kuhusu ccm kuisaidia cuf ili wapinzani wagawane kura wao wapete, na humu jamvini nimeona hizo juhudi.www.jamiiforums.com
Hivyo msitake kumlaumu Shibuda, Wasukuma when exited, ili kuonyesha furaha yao, huongea Kisukuma. Pale Shibuda was exited so much!.
P
sawa Bashite.
Nyerere alitumia maneno mengi ya kabila - kung'atuka, Nyabusabusa burwero ne kiriro kirimbura! Na mengine mengi. Ni kwamba wewe umekuwa kiziwi na kipofu kwa chuki binafsi kwa Raisi wetu.Sikumbuki ni lini Mwl. Nyerere alihutubia taifa kwenye jukwaa na mbele ya kamera kwa kuchanganya na Kizanaki, na wala sijawahi kumsikia Mzee Mwinyi wala Mkapa wakifanya hivyo wala watu wao. Waliamini kuwa kwa kufanya hivyo ni kutamani siasa za ukabila na kufukua hisia za kikabila nchini.
Nimewahi kumuona Mh. Shibuda juzijuzi akiongea Kisukuma kitupu wakati alipopewa nafasi ya kusalimia kwenye mkutano ambao ulikuwa wa public ambao pia ulikuwa unafuatiliwa na hata watu wasiofahamu lugha ya Kisukuma na bila kupewa onyo.
Wasiwasi wangu ni watu kuutamani mtaji wa kikabila ambao Nyerere alisema ni dalili za mtu kufilisika kisiasa.
Hebu turudini kwenye mstari aliouacha baba wa taifa.
Nyerere alikuwa anatumia au ku quote maneno ya lugha za kienyeji ili kukoleza na kusisitiza uzuri au ubaya wa kitu au taarifa kwenye sentensi za kiswahili baada ya kukosa neno lenye uzito sawa na kile anachokimaanisha kwenye kiswali, lakini alikuwa haongei KizanakiNyerere alitumia maneno mengi ya kabila - kung'atuka, Nyabusabusa burwero ne kiriro kirimbura! Na mengine mengi. Ni kwamba wewe umekuwa kiziwi na kipofu kwa chuki binafsi kwa Raisi wetu.
Yaani ameazima neno la kizanaki kwenye hotuba yake kwakuwa neno maziganyanga lilikuwa na uzito wa kipekee kwake, na pia akafafanua maana ya neno hilo akasema wote wako kwenye msukosukoMwl. Nyerere: "....Na tuliweka sheria. Tukasema, mtoa rushwa na mpokea rushwa; Wazanaki tunasema; wote maziganyanga....!" Mwisho wa kunukuu.
Hata hii ya kusalimia kidini mara sijui Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristu, huu ni udini tu!Sikumbuki ni lini Mwl. Nyerere alihutubia taifa kwenye jukwaa na mbele ya kamera kwa kuchanganya na Kizanaki, na wala sijawahi kumsikia Mzee Mwinyi wala Mkapa wakifanya hivyo wala watu wao. Waliamini kuwa kwa kufanya hivyo ni kutamani siasa za ukabila na kufukua hisia za kikabila nchini.
Nimewahi kumuona Mh. Shibuda juzijuzi akiongea Kisukuma kitupu wakati alipopewa nafasi ya kusalimia kwenye mkutano ambao ulikuwa wa public ambao pia ulikuwa unafuatiliwa na hata watu wasiofahamu lugha ya Kisukuma na bila kupewa onyo.
Wasiwasi wangu ni watu kuutamani mtaji wa kikabila ambao Nyerere alisema ni dalili za mtu kufilisika kisiasa.
Hebu turudini kwenye mstari aliouacha baba wa taifa.
Na alitoa tafsiri palepale.Yaani ameazima neno la kizanaki kwenye hotuba yake kwakuwa neno maziganyanga lilikuwa na uzito wa kipekee kwake, na pia akafafanua maana ya neno hilo akasema wote wako kwenye msukosuko
Dogo unaatoa hoja halafu unajaribu kuitetea bila mafanikio. Tanzania hatuna ukabila. Kuongea kilugha kwa namna yoyote ni kunogesha stori tu. Wataalamu wa 'Public Speech' wanalijua hili.Yaani ameazima neno la kizanaki kwenye hotuba yake kwakuwa neno maziganyanga lilikuwa na uzito wa kipekee kwake, na pia akafafanua maana ya neno hilo akasema wote wako kwenye msukosuko