Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Eti mi hata nnaemdai akiniahidi kunipa badae simpigii wala simkumbushi,ila mwenyewe tu atasikia aibu.Maskini jeuri mimi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]uwiiii umetisha
 
Anapiga kila saa mpaka simu inaisha chaji
Nimekutana nayo kwa mfipa mmoja hivi kuna makabila yana tabu jamani jitu unaliambia Mimi tayari occupied lakini bado tu limekomaa daah hapo akipiga napokea sim naiacha chumbani mwenyew natoka zangu nje spendagi ujinga mim
 
[emoji23] [emoji23] nimevuta picha hiyo lafudhi ya kimakonde nimecheka sana haha eti leta swaga mwana[emoji23] .Kuna ndugu yangu huyo hanaga story yeye kazi yake kusema enhe!mambo mengine?unajibu ni poa anakwambia leta story[emoji23]unamjib ah hakuna story anakwambia tena, mambo mengine vipi lakini?
Imebidi nimsevu MAMBO MENGINE
 
Sometimes watu wanaweza kuona kama unaringa au unadharau,mtu mwingine anakupigia simu then anachoongea sasa,hakuna cha maana,Sometimes naonaga bora kutopokea tu
Ndo Yale mtu ndio anakutongoza hata kukubaliwa bado ataanza jisemesha oohh nikutumie nauli uje Mara unakula kiasi gani kwa mwezi anajisemesha vitu wala havimuhusu
 
Ooooh nilkuwa sjui utasikia Demiss nkutumia mananasi mama kutoka Geita kwenye basi la Mohamed trans
Ukikubali anakutumia na viazi vitamu debe tatu na mboga majani zilizokaushwa ukahangaike nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…