Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
yaaah...si unajua pia ndio ugonjwa wangu huoBby si umezoea tu vimacho vyangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaaah...si unajua pia ndio ugonjwa wangu huoBby si umezoea tu vimacho vyangu?
Nimekutana nayo kwa mfipa mmoja hivi kuna makabila yana tabu jamani jitu unaliambia Mimi tayari occupied lakini bado tu limekomaa daah hapo akipiga napokea sim naiacha chumbani mwenyew natoka zangu nje spendagi ujinga mimAnapiga kila saa mpaka simu inaisha chaji
Usifanye hivo bana tulivunje tuuPm kuna kufuli la mzeee baba
[emoji23] [emoji23] nimevuta picha hiyo lafudhi ya kimakonde nimecheka sana haha eti leta swaga mwana[emoji23] .Kuna ndugu yangu huyo hanaga story yeye kazi yake kusema enhe!mambo mengine?unajibu ni poa anakwambia leta story[emoji23]unamjib ah hakuna story anakwambia tena, mambo mengine vipi lakini?Kuna jamaa alishanipigia usiku mkubwa sana hadi nikahisi kunaweza kuwa na tatizo kubwa that's why kapiga midnight.
Sasa wakati napokea simu..jamaa ananiambia "leta swagga mwana" kwa lafudhi ya kimakonde...Daah! Nikawaza huyu jamaa kanipigia this late night then anasema leta swaga tena? Nikamvumilia then nikamuuliza unasemaje? Akasema cheka yake ilitakq kuisha hivyo akaamua anipigie ili aimalizie!?
Nilikuwa namheshimu but nikavurumusha tusi then nikazima simu nikachapa mate hadi asubuhi.
Kuna watu wanakera sana.
Hapo sawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huwa namrembulia shemeji yako mshana tu
Haina shida mi na maziwa, halafu nampenda lkn hutak kunielewaMke wa mtu sumu
Ndo Yale mtu ndio anakutongoza hata kukubaliwa bado ataanza jisemesha oohh nikutumie nauli uje Mara unakula kiasi gani kwa mwezi anajisemesha vitu wala havimuhusuSometimes watu wanaweza kuona kama unaringa au unadharau,mtu mwingine anakupigia simu then anachoongea sasa,hakuna cha maana,Sometimes naonaga bora kutopokea tu
Limbwata lako Kali mkuuHuyu wa kwangu ni balaaa sijajibu sms zake sasa ni mwaka ila kila siku anapiga anatuma sms hakati tamaaa
The world is not fairMapenzi bhana mda huo wewe unakasirika kusumbuliwa na mtu usiyempenda mda huo huo na wewe unamsumbua asiyekupenda.
Unataka ugomvi na mume wanguNakupenda hivo hivo
Ukikubali anakutumia na viazi vitamu debe tatu na mboga majani zilizokaushwa ukahangaike nazoOoooh nilkuwa sjui utasikia Demiss nkutumia mananasi mama kutoka Geita kwenye basi la Mohamed trans