Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Nimekutana nayo kwa mfipa mmoja hivi kuna makabila yana tabu jamani jitu unaliambia Mimi tayari occupied lakini bado tu limekomaa daah hapo akipiga napokea sim naiacha chumbani mwenyew natoka zangu nje spendagi ujinga mim
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]uwe unawasha tv unapokea unaiweka hapoooo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tabia mbaya ujue unachuma dhambi
 
Mwingine atakwambia nimeshakuweka kwenye bajeti yangu ya mshahara kuanzia mwezi huu[emoji23] dadeki sipendi kauli ya "unakula sh ngapi kwa mwezi"
Utazani amewahi kukuona unalia njaa
Napatwaga hasira basi tu na ela nazipenda akishatanguliza hilo mfipa hiwa hatoki salama ataliwa,,na hamna atakachopata
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kuna yale magimbi yaooo ni matamu kweli kweli
Hahaha ukipata mnyakyusa anaependwa na mama yake wa Tukuyu utanenepa kwa kuagiziwa maparachichi na ndizi fresh from shamba,utaagiziwa mchele madebe mawili supa wa kyela na magunia matatu ya mpunga[emoji23] [emoji23]
 
Ndio maana huwa hupokei simu yangu.

Sasa nishapata jibu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Sasa ukitaka kujua utamu wa maisha ni pale ambapo unaye mpenda wewe naye anajisikia Hivi Hivi ukimpigia [emoji23]. Malipo hapa hapa duniani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…