Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi huwa nanuna sjui nilie kama nipo na rafiki yangu Apple alafu uwe mtongozo wa kisukuma naweka loud tutachekaaa mpaka nusu kujikojoleaaaaa
Mi utaona tu machozi yanamwagika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeahh sisi wanaume tunatumia busara mara nyingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ukitaka kujua utamu wa maisha ni pale ambapo unaye mpenda wewe naye anajisikia Hivi Hivi ukimpigia [emoji23]. Malipo hapa hapa duniani
Dunia haina usawaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tabia mbaya ujue unachuma dhambi
Nakwambia kuna vitu vinakera,mwingine tena(ndugu yangu)ananipigia hana story kazi yake kuulizia wanyamwezi wanavyokaa barazani na waha wanavyoendesha daladala baskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…