Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Lete swaga mwana[emoji23] [emoji23] kwa lafudhi ya kimakonde[emoji23] [emoji23] ivi demis umewahi kuwaskia wamakonde wakiongea?Nimecheka hakikaYani namkumbuka Gwalu
Hili ndo swali la msingi nangojea majibuJe muamala wa Mpesa wa mtu usiyempenda?
Sms ya 200K imethibitishwa zinakukera pia?
Hamna nimeamka toka alfajiri nimetoka kwenye mambo yangu ya kutafuta mahela ndio nimerudi hapa[emoji23] [emoji23] ndio umeamkaa?
Haaa karibuu..sisi tupo hapa hapa tukishadownload pesa na forekisi basi wala hatuumizi vichwa[emoji23]Hamna nimeamka toka alfajiri nimetoka kwenye mambo yangu ya kutafuta mahela ndio nimerudi hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Demiss atapeleka Kilimanjaro shoo!
Ulienda kuuza?Hamna nimeamka toka alfajiri nimetoka kwenye mambo yangu ya kutafuta mahela ndio nimerudi hapa
Ngoja sisi tusio na mtaji wa kutrade tuendelee kuchomwa na jua hapa kijiweniHaaa karibuu..sisi tupo hapa hapa tukishadownload pesa na forekisi basi wala hatuumizi vichwa[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulienda kuuza?
haha pata na gahawa hapo nikija ntalipaNgoja sisi tusio na mtaji wa kutrade tuendelee kuchomwa na jua hapa kijiweni
Gahawa jua lote hili mme wangu?haha pata na gahawa hapo nikija ntalipa
Huko dasilamu kumbe joto eeh..basi pata juice za miwa zile wanazopenda wanaume wa hukoGahawa jua lote hili mme wangu?
Nilienda kuuza mama [emoji3]Ulienda kuuza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaHaaa karibuu..sisi tupo hapa hapa tukishadownload pesa na forekisi basi wala hatuumizi vichwa[emoji23]
Aiseeeemimi sizipendi simu za usiku...unakuta mtu anapiga kuanzia saa nne usiku ama saa tano anakuulizia mavitu ambayo kwa muda huo hutaki hata kuyafikiria, pia wale waliokuwa wakiniletea pozi kabla sijaoa, wangese mno..kifupi simu za kuanzia saa nne ktk namba inayojulikana zote hupokelewa na huduma kwa wateja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja sisi tusio na mtaji wa kutrade tuendelee kuchomwa na jua hapa kijiweni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huko dasilamu kumbe joto eeh..basi pata juice za miwa zile wanazopenda wanaume wa huko
Umerudi na sh ngap?Nilienda kuuza mama [emoji3]
[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka