Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

mimi sizipendi simu za usiku...unakuta mtu anapiga kuanzia saa nne usiku ama saa tano anakuulizia mavitu ambayo kwa muda huo hutaki hata kuyafikiria, pia wale waliokuwa wakiniletea pozi kabla sijaoa, wangese mno..kifupi simu za kuanzia saa nne ktk namba inayojulikana zote hupokelewa na huduma kwa wateja
 
Aiseeee
 
Back
Top Bottom