Ving'ang'anizi kupe anasubiriNa wana viherehere,unakuta we ndo unaetamba kwenye wasap status zake[emoji23] [emoji23] hata wenye mali hawafanyi ivyo aisee
[emoji28][emoji23][emoji23] huyo shoga yako anadhambi sana hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] yamemkuta shoga angu....muha anajiunga cheka zogo kwa ajili ya kupiga story za kigoma na vitongoji vyake.Shost akipokea simu anaongea kidogo afu anaanza kuzungusha mkono alioshika simu(nadhani unajua ile style ya kuzungusha mkono kama unataka kurusha jiwe,yes!)basi akizungusha vile mpigaji simu lazima usikie kama upepo,af ye anaongea uku bado anazungusha mkono kwamba "niko kwenye boda boda ntakupigiaaaaa" anakata kisha anamaliza na tusi zito lenye vitamini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usiombeee demu akuombe hela umpe ahadi nitakutumia jioniHahahah au upokee SMS ya Bebi naomba nikwambie kitu.... Kabla sijaijibu naanza kucheka kabisa na kuandaa buku unusu, Yaani nakufanyia Bajeti kabisa kabla ya kujibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hazard kacover nafasi yake.Katimiza usemi wa
Ukisusa wenzio twala[emoji23]
Sasa wakianza kujibebisha hakii mpaka naliaga ninavyokereka maana kukata simu siweziKweli kabisaaa yani wanaweza kukuharibia siku yakooo
Dar mbali kote uko[emoji23] anakwambia safari yake ya kwanza kufika Tabora na jinsi alivyoweza kumiliki duka la vitu vya nyumbani mtaa wa KanyenyeNa watihuo anamalizia kwa stori za mawese anavyo letaga Dar "kariakoo"....[emoji13] [emoji13]
Nikishaona hio text nakuandalia kabisa aisee, ukijibu tu naomba Nitumie..... Nishatuma kisha sababu zinafuata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usiombeee demu akuombe hela umpe ahadi nitakutumia jioni
Huwa wanawasumbua sana eeeeh kuwapigia simu mpaka unachukia [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mm Demiss huwa nina katabia ukinipa ahadi lazima nikupigie simu
[emoji20][emoji20][emoji20]Ndo maana nakuaga busy tu muda wote. Sitaki kuongea wala kuchatishana. Watu usowapenda wanakuaga ving'ang'anizi hao na kujipa nafasi wasokua nazo
Mi nazaa na hazard we jamaaNmemuomba nizae nae amenikataa Ebu mshaur huyo mwenzako bana
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] mnyakusaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usiombe awe mnyakusaa mweee utakoma