Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] yamemkuta shoga angu....muha anajiunga cheka zogo kwa ajili ya kupiga story za kigoma na vitongoji vyake.Shost akipokea simu anaongea kidogo afu anaanza kuzungusha mkono alioshika simu(nadhani unajua ile style ya kuzungusha mkono kama unataka kurusha jiwe,yes!)basi akizungusha vile mpigaji simu lazima usikie kama upepo,af ye anaongea uku bado anazungusha mkono kwamba "niko kwenye boda boda ntakupigiaaaaa" anakata kisha anamaliza na tusi zito lenye vitamini
[emoji28][emoji23][emoji23] huyo shoga yako anadhambi sana hahaha
 
Hahahah au upokee SMS ya Bebi naomba nikwambie kitu.... Kabla sijaijibu naanza kucheka kabisa na kuandaa buku unusu, Yaani nakufanyia Bajeti kabisa kabla ya kujibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usiombeee demu akuombe hela umpe ahadi nitakutumia jioni

Huwa wanawasumbua sana eeeeh kuwapigia simu mpaka unachukia [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mm Demiss huwa nina katabia ukinipa ahadi lazima nikupigie simu
 
Nikishaona hio text nakuandalia kabisa aisee, ukijibu tu naomba Nitumie..... Nishatuma kisha sababu zinafuata
 
Back
Top Bottom