Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is true wao wananpigia sm hawaoend cha ajabu na yy anaowapenda kuwa nao hawampend yaani ni full kuhangaika [emoji3][emoji3][emoji124][emoji124]Unaempenda hakupend
Usiyempenda ndo anakupenda
Mambo n vais vesa tu
Basi ukiona namba ngeni usipokea,mapenzi ni ugonjwa nenda nae taratibuAnabadili nambaaaa
Dawa ni kumpenda tu kama ukiamua kumpenda wala hutaona tabu kupokea cm yakeHivyo hivyo usiombe utongozwe na msukuma weeee utakomaaa
Ila kiukweli wanawake hamjambo kufukua makaburi....... dawa ni kutokumkwaza siku akitemwa alikokuwa atakushtua tu kupunguza machunguTunatofautiana
tena mimi hapa muha wa kijiji cha katumbi, hukuu ufukweni mwa ziwa Tanganyika, tunakula migebuka wewe acha kabisaaa, leo ntaweka cheka zogo nikupigie ukasirikeee mpaka unisonye kabisa... 😉🙄😛😀Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
Ila hakat tamaaa wanatia hurumaa sana
Comment ya wiki[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna jamaa alishanipigia usiku mkubwa sana hadi nikahisi kunaweza kuwa na tatizo kubwa that's why kapiga midnight.
Sasa wakati napokea simu..jamaa ananiambia "leta swagga mwana" kwa lafudhi ya kimakonde...Daah! Nikawaza huyu jamaa kanipigia this late night then anasema leta swaga tena? Nikamvumilia then nikamuuliza unasemaje? Akasema cheka yake ilitakq kuisha hivyo akaamua anipigie ili aimalizie!?
Nilikuwa namheshimu but nikavurumusha tusi then nikazima simu nikachapa mate hadi asubuhi.
Kuna watu wanakera sana.
[emoji23] [emoji23] naomba untumie migebuka na dagaatena mimi hapa muha wa kijiji cha katumbi, hukuu ufukweni mwa ziwa Tanganyika, tunakula migebuka wewe acha kabisaaa, leo ntaweka cheka zogo nikupigie ukasirikeee mpaka unisonye kabisa... 😉🙄😛😀
Dawa ni kumpenda tuDemiss nishauri nimfanyeje?hachagui muda iwe usiku iwe mchana yeye ni kupiga tu
I have a dream.
enhee!!! safi hapo sasa najua tutapeana number ili nikupigie ukereke 🙄😀[emoji23] [emoji23] naomba untumie migebuka na dagaa
Hahaaaa. Usijali nikiwa napata wasaa nitakuwa nakupigia.Kama wewe huwa naenjoy sana na mawazo yako ya kibiashara safi sana nataman unipigie kila siku