Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Mi huwa najiongeza mapema, nikikutext mara 2 no reply, nikacall two times ukamute nadelete na no kabisa maana najua hapa sipo.. cha ajabu wengi wao after few days ukimpotezea anaanza yeye kupiga....
 
Hutakiwi kukataa tamaa hata siku 1 ndio wanaume tulivo we mkubalie tu yaushe la sivyo utasumbuliwa mpaka sasa ukome[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi huwa najiongeza mapema, nikikutext mara 2 no reply, nikacall two times ukamute nadelete na no kabisa maana najua hapa sipo.. cha ajabu wengi wao after few days ukimpotezea anaanza yeye kupiga....
Tunatofautiana
 
Unaempenda hakupend
Usiyempenda ndo anakupenda

Mambo n vais vesa tu
That is true wao wananpigia sm hawaoend cha ajabu na yy anaowapenda kuwa nao hawampend yaani ni full kuhangaika [emoji3][emoji3][emoji124][emoji124]
 
Hahahahahah kumbe nilishaambia zaid ya mara nyingi lakini wapi kweli tunakela sana lakini tuzoee tu, si unajua mtafutaji achoki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WANAFIK UTAWAJUA TU
namba za simu mlipeana wenyewe mkiwa wawili na ulitoa namba kwa raha zako
Umeona mambo yanakwendea kombo,sasa unaanza kujiliza kwa watu na kutafta kiki pamoja na mashahidi.
Kama humpendi kihedemswede gani kilichokufanya umpe namba zako za simu?
Kama umeona anakukera kwanini USIMBLOCK tu namba yake ya simu?
Na kama ulimkataa na unaona kero maongezi yake KIHEREHERE gani cha kupokea simu yake anapukupigia??
Mleta MADA TAFAKARI KWANZA KABLA ya kujiliza liza kwa watu[emoji1321]
 
Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
tena mimi hapa muha wa kijiji cha katumbi, hukuu ufukweni mwa ziwa Tanganyika, tunakula migebuka wewe acha kabisaaa, leo ntaweka cheka zogo nikupigie ukasirikeee mpaka unisonye kabisa... 😉🙄😛😀
 
Kuna jamaa alishanipigia usiku mkubwa sana hadi nikahisi kunaweza kuwa na tatizo kubwa that's why kapiga midnight.

Sasa wakati napokea simu..jamaa ananiambia "leta swagga mwana" kwa lafudhi ya kimakonde...Daah! Nikawaza huyu jamaa kanipigia this late night then anasema leta swaga tena? Nikamvumilia then nikamuuliza unasemaje? Akasema cheka yake ilitakq kuisha hivyo akaamua anipigie ili aimalizie!?

Nilikuwa namheshimu but nikavurumusha tusi then nikazima simu nikachapa mate hadi asubuhi.

Kuna watu wanakera sana.
Comment ya wiki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ilifanya jana nikacheka sana.....
Humble african mwambie mmakonde namsalimia
 
Back
Top Bottom