Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Sasa unadhani mwanaume akikataliwa siku moja ndo asirudi tena? Hayo yote yametokana na nyinyi kuwa na tabia za sitaki nataka hivyo huwa tunapambana hadi tone la mwisho
 
Wanaume unaowapigia sim unafikiri wote wanakupenda wengine wanajisikia hivyo hivyo unavyowafikiria usiowapenda
 
Sasa unadhani mwanaume akikataliwa siku moja ndo asirudi tena? Hayo yote yametokana na nyinyi kuwa na tabia za sitaki nataka hivyo huwa tunapambana hadi tone la mwisho
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom