samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Relax shem wa mimi mzigo utapata[emoji2]Unanipa moyo nitakudai Kama deni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Relax shem wa mimi mzigo utapata[emoji2]Unanipa moyo nitakudai Kama deni
yaap yaap[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]looh eti eeeh
Your welcome mamaAiseeee mpaka nimesikia raha
Pole, daah kumbe hayamambo yapo both sides, kuna mdada mimi mbaka najiuliza huyu anataka kuniambukiza miwayanini, fulu wasapu sms cm call kila siku najaribu kutaka kumchana live lakini naona kama ataniona hanadhamani.Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
Haya mambo ni kwamba kila mtu na mnyongeee wake nduguPole, daah kumbe hayamambo yapo both sides, kuna mdada mimi mbaka najiuliza huyu anataka kuniambukiza miwayanini, fulu wasapu sms cm call kila siku najaribu kutaka kumchana live lakini naona kama ataniona hanadhamani.
Nikikaa nikikausha kidogo kupokea cm yake nikipokea swali ni aunakuboa? Namwambia nop,nilikuwa bz kidogo lakini hakomi.
So hata nyie demiss mkikolea hamzimiki leo.
[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wewe
Ili upige kizinga cha kifurushi?[emoji23]Hata ya kwangu haujibu?
Si shemeji lazima adumishe ushemejiShemeji yangu naanzaje kumpiga kizinga cha kifurushi
Acha uchokozi basi.Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
kuna mwanaume nlimpendaga jaman ila akawa ananiona me fala sku nkabid nijikatae mwnywe ila mpka saiv anapiga sim kam vile anaulizia mafao yake ..khheeeTupeee story