Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.

Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.

Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.

Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.

Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.

Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.

Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.

Mrs Jr.
Pole, daah kumbe hayamambo yapo both sides, kuna mdada mimi mbaka najiuliza huyu anataka kuniambukiza miwayanini, fulu wasapu sms cm call kila siku najaribu kutaka kumchana live lakini naona kama ataniona hanadhamani.

Nikikaa nikikausha kidogo kupokea cm yake nikipokea swali ni aunakuboa? Namwambia nop,nilikuwa bz kidogo lakini hakomi.

So hata nyie demiss mkikolea hamzimiki leo.
 
Haya mambo ni kwamba kila mtu na mnyongeee wake ndugu
 
unapokeaje simu au kujibu text ya mtu usiempenda?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

mimi sipokei simu wala sijibu text iwe whatsapp, normal calls , text hata e-mails [emoji3][emoji3][emoji3]
 
unapokeaje simu au kujibu text ya mtu usiempenda?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

mimi sipokei simu wala sijibu text iwe whatsapp, normal calls , text hata e-mails [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata ya kwangu haujibu?
 
Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
Acha uchokozi basi.
 
Back
Top Bottom