Duh, sikupata hilo wazo la kurecord tukio llitokea hivi punde. Kuna jirani kaibiwa kuku wake bandani.Leta uthibitisho wa hayo unayosema
Duh, sikupata hilo wazo la kurecord tukio llitokea hivi punde. Kuna jirani kaibiwa kuku wake bandani.
...
Kwanini umesema huyo wa chato?Hebu mkafufue mtu wenu wa chato basi ili tupumzike na hizi kufuru zenu.