Kuna kipande toka singida mjini mpk njia ya kwenda kiomboi kuna petrol station zaidi ya 10 alafu vyote vipyaNadhani kwa Dar es salaam, bagamoyo road kutoka mwenge mpaka bunju itakuwa inaongoza kwa vituo vya mafuta.
Mtu amepiga 10% yake ya mradi wa wa bilion 100 aipeleke wapi kama sio kuhonga maafisa ardhi ewuraUtitiri wa Vituo vya Mafuta ni hoja ya KIBIASHARA zaidi kuliko ya KIUSALAMA.
Haiingii akilini kuwa uhitaji wa Petroli na Dizeli umekuwa mkubwa sana kiasi cha kutakiwa uongezekaji wa Vituo, tena karibu karibu kama tunavyoona jijini Dar es Salaam.
Tatizo la usalama kuhofia KULIPUKA MOTO kwenye Vituo vya Mafuta ni dogo sana kwa sababu Mafuta yaliyohifadhiwa chini ardhini ndani ya Matenki ni salama zaidi kuliko Galoni ya Mafuta ya Taa iliyohifadhiwa ndani ya Nyumba zetu.
Chupa ya Mafuta ya Taa nyumbani ni hatari zaidi KIUSALAMA maana Mafuta yanakutana na hewa ya Oksijeni kiurahisi zaidi.
Kama ilivyo kwenye "Sheli za Pikipiki" ambazo zimesambaa sana kwenye maeneo yetu ya Makazi kuhudumia Bodaboda.
Ni vema kufahamu kwamba Petroli na Dizeli, vyenyewe, HAIWAKI/HAILIPUKI mpaka ikutane na hewa ya OXYGEN.
Kama Bomba za Chuma zinazoleta Mafuta kutoka kwenye Matanki chini ya Ardhi kupeleka kwenye Pampu za kujazia Mafuta kwenye Magari HAZIVUJI, uwezekano wa MLIPUKO wa Moto unakuwa haupo.
Lakini kitu muhimu cha kujiuliza ni iwapo kuna umuhimu wa kuwa na Vituo vingi vya Mafuta kwa kiasi tunachoona.
Ni sawa na kujenga Soko kila Mtaa.
Watu wa Mipango Miji wanaoruhusu hali hii wameonyesha UDHAIFU mkubwa wa KITAALUMA.
Na UDHAIFU huo unachochowa na RUSHWA.
Biashara ya Mafuta ni biashara ya pesa nyingi.
Usalama wa raia na jambo la muhim sana mm sio mtaalam sana ila hata kwa akili tu unajua hii ni hatari siku likitokea la kutokeaWewe shida Yako ni nini, tra hawachukua Kodi huko!? Acha wivu na biashara za Watu
JKT pale majirani ni nani zaidi ya Jeshi?Maringo pale kona vp hakuna kituo kinachojengwa pale
Ila pale jkt majirani walitaka kuanza kupinga uwepo wa kituo hicho anyway
Sjui walimalizana vp
Ova
Hadi Masaki kona ya Delta HotelSteers mjini zamani lake oil walishafanya yao
Ova
Vituo vingapi vimeshaleta madhara tangia uwepo wake!? Anyway uwepo WA majenzi holela ndio nilitegemea liwe priority ya waziri na Sio hizi cheap politics kuumiza wengineJKT pale majirani ni nani zaidi ya Jeshi?
Kuna wakina mzee mgm na wenzake walijaribuJKT pale majirani ni nani zaidi ya Jeshi?
Kwamba unataka mpaka uone ndiyo uone ni hatar? Mbona pale unapoenda kwenye kituo cha mafuta unakuta alama mpaka za kuzima simu, shusha abiria, zima gari etc? Kwamba huhisi tu kuwa eneo ilo linaweza tokea mlipuko?Huo mfano wa morogoro hauna mantiki kwenye hoja yako ile ajali ilitokea barabarani na hakikua kituo cha mafuta.
Kama watu hawataki kukaa karibu na vituo vya mafuta basi walipwe fidia wahame
By the way sijawahi kusikia kituo cha mafuta kimeleta madhara kwenye makaz ya watu
Mkuu vijengwe nje ya mji wapi? Hapo nje ya mji hakuna watu? Kwani hao wakaazi wanaolindwa hawahitaji huduma ya mafuta, upepo na gesi?Hivi vituo vilitakiwa vijengwe nje ya mji vijitenge na makazi ya watu. Kuna mji mmoja barabara kuu vituo vya mafuta vimejengwa vinakaribiana mita chachache kutoka kimoja hadi kingina na vyote vipo kwenye makazi ya watu