Kuongezeka kwa Wimbi la wanawake kuzalia nyumbani (kuzaa kabla ya kuolewa)

Kuongezeka kwa Wimbi la wanawake kuzalia nyumbani (kuzaa kabla ya kuolewa)

Wanaume hatujawahi kuwa waongo Wala kubadili msimamo wetu.
Sisi ni wazee wa mke zaidi ya mmoja.
Na hatujaacha Hilo.
Tunaendelea kuwazalisha na kuwalea.
Hata kwa kificho.

Ila wao kwa sababu wanataka maigizo ya kila mtu na mume wake acha waendelee kuonekana hawajaolewa lakini wanaongeza watoto.
Haiwezekani kila mwanamke kuwa na mume wake wakati kila mmoja wao anataka kuwa na watoto.!!
Walioolewa kwenye mitala wanaitwa wake za watu.
Unfortunately ambao wako nyumbani na watoto wasiofahamika baba zao ndio wanashangaa wenzao kuwa kwenye mitala.
Sijui nani wa kumshangaa mwenzie.
sawa mdau 👍
 
Wanawake wengi wa sasa hawana heshima wana viburi na dharau
Wengi hawataki kuanza maisha ya chini na mwanamme wanataka maisha ya kuigiza simu kali na pamba kali ndo mana wengi huishia kutembea na wanaume za watu

Single mother hawa ni laana ndo inayowatafuna kwa tamaa zao kupenda mambo makubwa maisha ya mtelemko

Mwanamke unatongoza hapo hapo anaanza kukuomba hela wazo la kuoa litakuja vipi ndo mana wengi wanaishia kuchezewa
[emoji817] agreed
 
Laana??Kivp?Hii kauli imekuwa common sana kwa wanawake wanaozalishwa nyumbn.Yaan wanafanya upuuzi wakiachwa wanaanza kuimba neno LAANA na blaa blaa nyingi.Hivi huyu Mungu ni mali yenu peke yenu?Nyie hamuwez kupata laana kwa matendo ya ovyo yanayomkimbiza mtu??Leta takwimu ya waliopata laana na ulete ushahidi kwamba shida walizopata zimetokana na kumuacha mwanamke mshenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwanamke mshenzi ni wa kumuacha tuu ...na laana zake
 
Kuongezeka huko pia kumechangiwa kwa asilimia kubwa (sio zote) na kitu inaitwa "FEMINISM"

Mimi naweza sema ni "THE NEGATIVES OF FEMINISM IN SOCIETIES"
 
Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa.
Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na
1. wanawake wengi kukata tamaa, 2.umri mkubwa,
3.lakini pia nimekutana na majibu ya wanawake waliamua kushika mimba baada ya kuhakikishiwa kuolewa,Lakini Mara baada ya kuzaa mwanaume amechange gia na kupiga U-turn
4. Wachache sana walionyesha ndoa sio muhimu kwao,Lakini asilimia kubwa ya kundi hilo walikuwa wameshaumizwa

Wanaume walipoulizwa katika madodoso yao sababu hasa za kuwapa ujauzito wanawake na kuwaacha wengi walijaza majibu haya
1. Majibu ya ovyo ya wanawake yaliwakimbiza wengi - 40% waijibu katika madodoso jibu hill
2. Dharau na kiburi kwa wanawake wengi walisababisha wanaume wengi kusitisha mahusiano ili hali tayari hayo mahusiano yalishaleta madhara kama mimba au mtoto.
3. Wanawake kuwa na mahusiano na wanaume/ wanaume wengine ilidabababisha pia mahusiano kusitishwa na wanaume -45% swali hili lilijibiwa
4. Wivu na tamaa , wanawake kuingia tamaa ya kutaka vitu vikubwa kama vile mavazi, n.k wanaume waliamua wajitoe kwenye mahusiano mapema
5. Wanaume wengi kutokuwa waaminifu katika mahusiano hasa kutokana na kuwepo kwa wanawake wengi wazuri ,imwsababisha wanaume wengi kukimbilia huko
Hivi hawa wanawake wanajipa mimba wenyewe? Mwenye tatizo si mwanamke tu, na mwanaume...
 
Laana??Kivp?Hii kauli imekuwa common sana kwa wanawake wanaozalishwa nyumbn.Yaan wanafanya upuuzi wakiachwa wanaanza kuimba neno LAANA na blaa blaa nyingi.Hivi huyu Mungu ni mali yenu peke yenu?Nyie hamuwez kupata laana kwa matendo ya ovyo yanayomkimbiza mtu??Leta takwimu ya waliopata laana na ulete ushahidi kwamba shida walizopata zimetokana na kumuacha mwanamke mshenzi🤣🤣🤣
Soma vizuri kijana uelewe,..usije juu juu tuu... halafu ni hivi mtu unadhani laana labda inaweza kukupata ww tuu,. laana inaweza hata kumrudia mwanao au mjukuu wako wakati huo pengine ww ulishajifia na kuzikwa kitambo, unakuja kuwatesa wajukuu/watoto nao wanaishia kuwa michepuko tuu na kuzalishwa kila mtoto na babake, source babu/baba yao aliwafanyia hivyo watoto wa watu... what goes around comes around mzee kijana,
 
Atukwepi majukumu Ila ni tabia zenu.

Mpaka sasa Nina mtoto mmoja na natoa mahitaji yote.

Shule nimemtafutia Mimi (private school).

School bus inamfata tu nyumbani kwa mama yake.

Likizo lazima aje kwa baba, akija ni full raha mpaka siku ya kuondoka utamsikia "Shule zifungwe nakuja Tena baba"

Kwanini mama yake sijaoa.

1. Mtoto ana miaka 5.5 Nilimfumania simu ya mama ake na sms za mchungaji mmoja wanasifiana kutomban*.
Na huyo mchungaji ana ukimwi.
Sikuuliza, nilimuomba tu ASEPE KWANGU.

Alivyokua mbishi kuondoka na kulialia nisamehe kibao, nikaona ananiletea jau nikamwachia vyumba na kusepa Mimi.

TULIENI TUTAWAOA.

#YNWA
Daah mr livapuli kumbe na ww ushapigiwa🤣🤣🤣
 
Ndio nyie mnaosema sitaki kuoa mwanamke mwenye mtoto,Sasa kama huyu wako unategemea aolewe na nani wakati ww ndio mwenye mtoto,.??vijana mnatakiwa kujitafakari sana haya mambo yanajirudi am telling you bora kuwa mkweli tuu na sio kujitafutia laana huko mbeleni zisizo na kichwa wala miguu
Mambo si rahisi kama ulivyoandika hapa.
 
Soma vizuri kijana uelewe,..usije juu juu tuu... halafu ni hivi mtu unadhani laana labda inaweza kukupata ww tuu,. laana inaweza hata kumrudia mwanao au mjukuu wako wakati huo pengine ww ulishajifia na kuzikwa kitambo, unakuja kuwatesa wajukuu/watoto nao wanaishia kuwa michepuko tuu na kuzalishwa kila mtoto na babake, source babu/baba yao aliwafanyia hivyo watoto wa watu... what goes around comes around mzee kijana,
Hahaa Yaan sijui ubongo wako umeujaza nini.Unaweza kuproove hili kisayansi?
 
Zingatia "wanawake Ni wengi kuliko wanaume" nauliza , mnaokimbilia upadre wanawake wenu atawaoa Nani ? Masista sawa kwani Ni wengi .
 
Daa my wangu mwezi June(06) anaenda kujifungua kwao uchagani huko....

Lakin sijamuoa wala nin!!!...

Kila siku napokea simu ya wakwe!!!wanasisitiza ndoa"""""

Na kiukweli nikiliwaza ghubu la mtoto wao nasema ningoje kwanza...daah:

N.B
Kuna kimchepuko kinanipa raha hatar!!!! .... Mpka namsahau mama kijacho wangu""".....Mungu tunusuru sis wanaume.... Ndo maana tunakufa mapema:
Dhaaaa hawa waschana skuhz wamezid
Gubu kwakweli mnakaa week tu unashindwa kuvumilia
 
Dhaaaa hawa waschana skuhz wamezid
Gubu kwakweli mnakaa week tu unashindwa kuvumilia
Na hapa ni wachumba tuu*
Kila mmoja anakaa kwake lakin hlo ghubu si la nchi hii!!

Mpka unawaza daa nikioa haki vile naingia kifungon!:
 
Na hapa ni wachumba tuu*
Kila mmoja anakaa kwake lakin hlo ghubu si la nchi hii!!

Mpka unawaza daa nikioa haki vile naingia kifungon!:
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]yaaani unarud jion unafkiria
Vile unaenda home unakosa aman
 
Soma vizuri kijana uelewe,..usije juu juu tuu... halafu ni hivi mtu unadhani laana labda inaweza kukupata ww tuu,. laana inaweza hata kumrudia mwanao au mjukuu wako wakati huo pengine ww ulishajifia na kuzikwa kitambo, unakuja kuwatesa wajukuu/watoto nao wanaishia kuwa michepuko tuu na kuzalishwa kila mtoto na babake, source babu/baba yao aliwafanyia hivyo watoto wa watu... what goes around comes around mzee kijana,
Kwahiyo hapo ulipo unasubiri vitasa kwa mambo aliyofanya mama ako na baba ako?

Hii DUNIA hii mbona haina haki.

Yaani umalaya afanye mwengine mabaya yanipate Mimi?

#YNWA
 
Ndio nyie mnaosema sitaki kuoa mwanamke mwenye mtoto,Sasa kama huyu wako unategemea aolewe na nani wakati ww ndio mwenye mtoto,.??vijana mnatakiwa kujitafakari sana haya mambo yanajirudi am telling you bora kuwa mkweli tuu na sio kujitafutia laana huko mbeleni zisizo na kichwa wala miguu
Vijana unamaanisha wavulana au
 
Back
Top Bottom