Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa.
Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??
Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo.
Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo zinazochangia kukua kwa tatizo Hilo!?
Kuna nini kinaendelea kwenye jamii!?
Ukimya umetawala Sana ila matendo ya ulawiti yanahanikiza kwa sauti kubwa kwamba Kuna tatizo mahali.