Kuongezeka matukio ya ulawiti Tanzania kunaashiria nini!?

Kuongezeka matukio ya ulawiti Tanzania kunaashiria nini!?

Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa.

Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??

Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo.

Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo zinazochangia kukua kwa tatizo Hilo!?

Kuna nini kinaendelea kwenye jamii!?

Ukimya umetawala Sana ila matendo ya ulawiti yanahanikiza kwa sauti kubwa kwamba Kuna tatizo mahali.
Wasomi wengi especially wasichana ambao ni wanavyuo wanalinda bikira zao ili waolewe
Sasa linapokuja ni suala la ugumu wa maishaanahitaji simu nzuri,laptop,mavazi,chakula,tv,radio, wanauza Tigo , akija kuolewa anakutwa ana bikira.
 
Kwenye magroup ya WhatsApp huko hali inatisha biashara ya kuuza nyuma kwa wanawake ndio habari ya sasa,wa elfu 30,elfu 20,elfu 15 na wengine mpaka elfu 10 kwa bao mbili, IMEKUWA KITU CHA KAWAIDA.Amini kwamba kila kunapokucha basi kuna wafuasi wa kufir* wanaongezeka kwa sababu ndio hao hao members wa hayo magroup na wanaomba kuungwa daily
 
Samahani comrade kwani nani alisema ushoga haupo?
Kasema jamii nzima tupo kwenye mkatale (denial). Ni ukweli kuwa Tanzania tunaonesha tunachukia ushoga lakini matendo yetu yanaonesha kuwa kinyume chake.

Hadi wale watu wasiojulikana wakiteka watu huwa wanawalawiti adhabu kwa hao waliotekwa.

Kwa ivo ulawiti hutumika pia kama adhabu na silaha dhidi ya watu wengine.
 
Kuna wanaodai kwamba ushoga ni ‘import’ ya tamaduni za magharibi..
Tuache kuwasingizia wazungu
Hivi vile vigodoro,sjui baikoko
Zile sherehe wazungu ndizo wanazifanya huku mitaani
Maana zile shuguli lazima mashoga waje na wakija wanajumuika na watu wa mtaani
Tena wanakatika mauno kwa pamoja haha 😄 😆

Ova
 
Shida ni x nying za kibongo ni za tigo...
Kwahiyo watu wanahisi tigo nzuri, turuhusu x za pussy tu...
 
Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa.

Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??

Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo.

Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo zinazochangia kukua kwa tatizo Hilo!?

Kuna nini kinaendelea kwenye jamii!?

Ukimya umetawala Sana ila matendo ya ulawiti yanahanikiza kwa sauti kubwa kwamba Kuna tatizo mahali.
Wanaojaa majukwani kuhubiri Maadili ndio Nambari One kwenye ufirauni.
 
Back
Top Bottom