Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa ivo Kwa wanawake ndiyo imekuwa rasmi!?Asilimia kubwa ya wanawake sahvi wanatoa jicho
Pesa yako tu
Msukumo mkubwa ni tamaa
Usione wanawake wanaendesha magari,wana biashara za maduka ya nguo,saloon hao wote ukisema uwapime marindaaa ni fumuuuuuuuu
Ova
Ishakuwa rasmiKwa ivo Kwa wanawake ndiyo imekuwa rasmi!?
Aisee.Ishakuwa rasmi
Ova
Naam mtaalam..😜Asilimia kubwa ya wanawake sahvi wanatoa jicho
Pesa yako tu
Msukumo mkubwa ni tamaa
Usione wanawake wanaendesha magari,wana biashara za maduka ya nguo,saloon hao wote ukisema uwapime marindaaa ni fumuuuuuuuu
Ova
Kunaashiria kwamba ushoga upo na umeshamiri kwenye jamii hata kama watu wapo kwenye denial.Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa.
Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??
Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo.
Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo zinazochangia kukua kwa tatizo Hilo!?
Kuna nini kinaendelea kwenye jamii!?
Ukimya umetawala Sana ila matendo ya ulawiti yanahanikiza kwa sauti kubwa kwamba Kuna tatizo mahali.
Msukumo wa wanaume kumulika tochi topeni (kufukua mitaro na kula visavlmvu vya kopo) unatoka wapi? Au ndio passwords za kusukuma ndinga kali tunazo ziona hapa mjini?Ishakuwa rasmi
Ova
Msukumo huo unatoka wapi mkuu? Ni DNA CHANGES? NI HUMANI REVOLUTION? au kuna watu wana manipulate mifumo ya maisha?Kunaashiria kwamba ushoga upo na umeshamiri kwenye jamii hata kama watu wapo kwenye denial.
Ushiriki katika tendo la kulawiti ni ushoga.
Yote ni majibu mkuu...Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??
mrangi kasema Kwa wanawake wengi ni kama ni rasmi.Kunaashiria kwamba ushoga upo na umeshamiri kwenye jamii hata kama watu wapo kwenye denial.
You nailed itKunaashiria kwamba ushoga upo na umeshamiri kwenye jamii hata kama watu wapo kwenye denial.
Ushiriki katika tendo la kulawiti ni ushoga, mwanzo mwisho.
Nani kasema hivyo...Wanawake ni mashamba yenu, waingilieni vyovyote mtakavyo. Sasa hapo unategemea nini?
Kwakweli namm nijueNani kasema hivyo...
Ni sehemu ya ubinadamu tu. Hakuna la zaidi wala pungufu ya hapo.Msukumo huo unatoka wapi mkuu? Ni DNA CHANGES? NI HUMANI REVOLUTION? au kuna watu wana manipulate mifumo ya maisha?
Samahani comrade kwani nani alisema ushoga haupo?Kunaashiria kwamba ushoga upo na umeshamiri kwenye jamii hata kama watu wapo kwenye denial.
Ushiriki katika tendo la kulawiti ni ushoga, mwanzo mwisho.