Umemaliza kila kitu NN. [emoji122][emoji122][emoji122]Kunaashiria kwamba ushoga upo na umeshamiri kwenye jamii hata kama watu wapo kwenye denial.
Ushiriki katika tendo la kulawiti ni ushoga, mwanzo mwisho.
Hakuna mchongo wowote.....sema imebuma tu ndio michezo yaoHuo utakuwa ni mchongo tu, sio ishu nyepesi kabisa kumuangusha RC hata kama alibaka kweli.
Ni kweli kabisa na jamii zetu ni za kinafiki sana.Kunaashiria kwamba ushoga upo na umeshamiri kwenye jamii hata kama watu wapo kwenye denial.
Ushiriki katika tendo la kulawiti ni ushoga, mwanzo mwisho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuache kuwasingizia wazungu
Hivi vile vigodoro,sjui baikoko
Zile sherehe wazungu ndizo wanazifanya huku mitaani
Maana zile shuguli lazima mashoga waje na wakija wanajumuika na watu wa mtaani
Tena wanakatika mauno kwa pamoja haha [emoji1] [emoji38]
Ova
Bado anatuhumiwa, kutumbuliwa ni wajibu ili kurahisisha uchunguzi.Hili swali inabidi aitwe aliyekuwa RC wa Simiyu ndugu Nawanda aje kutujibu.
Elimu inahusu nn na hisia zake? Useme kakosea kumlazimisha mtu asiyetaka,Mjinga sana yule PhD! Elimu ni pamoja na kuwa mfano bora katika jamii. Mkosa maadili kama yule atajibu nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] cathe mwenyewe ni msagaji. LolNi kweli kabisa na jamii zetu ni za kinafiki sana.
Ushoga wanafanya lkn hata siku moja hawakubali kama upo
Kamuulize Dr Mwakyembe na Dada Catherine
Yeah! Uko sahihi mkuu. Tukio lenyewe na makando-kando yake linaacha maswali mengi bila majibu. Hakuna mahali mtuhumiwa amepata nafasi ya kusema lolote. Ila tunasikia tu kwamba tayari maza kesha mlamba kichwa.Bado anatuhumiwa, kutumbuliwa ni wajibu ili kurahisisha uchunguzi.
Ingawa kuna "tetesi" kwamba alitengemezewa zengwe kwasababu alionekana kwenda ama kujipanga kugombea ubunge kwenye jimbo la mbunge ambae ni mke wa mkuu wa mkoa maarufu huko kanda ya ziwa.
Basi tusubiri mahakama ithibitishe tuhuma kwanza.
Ingawa inaonekana binti alie husika kama ameomba kuto kuendelea na kesi.
Na pia gazeti lililo muandika x RC, nikama liliandika one side story pasipo kumsikiliza mtuhumiwa.
On top of that, inaonekana manjagu walishinikizwa kutoa barua ambayo ni "confidential" ili kuiaminisha jamii kwamba x RC alitenda kosa.
Lakini pia inasemekana, binti alienda kuripoti polisi lile tukio two days baadae toka siku "inayosemekana" alipo najisiwa na x RC.
Anyways........
Sitetei uhalifu, lakini nina maswali mengi bado najiuliza.
Akina nani tena hao mkuu?Basi ndo mtajifanya mmepata mada za kuanzisha kujifanya mnakemea kumbe mnajitangazia biashara
Huko kumlazimisha mtu asiyetaka ndio kushindwa ku-control hisia zake. Msomi wa PhD, mtu mwenye exposure kubwa, alitarajiwa awe wa tofauti. Sio kila hisia inayokujia unaifanyia kazi bila utaratibu!Elimu inahusu nn na hisia zake? Useme kakosea kumlazimisha mtu asiyetaka,
Kuweni na logic bas
Kumbe!Asilimia kubwa ya wanawake sahvi wanatoa jicho
Pesa yako tu
Msukumo mkubwa ni tamaa
Usione wanawake wanaendesha magari,wana biashara za maduka ya nguo,saloon hao wote ukisema uwapime marindaaa ni fumuuuuuuuu
Ova