Kuongezewa njia wakati wa kujifungua

Kuongezewa njia wakati wa kujifungua

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Lengo kuu la kuongezewa njia wakati wa kujifungua (Episiotomy), ni kuzuwia kuchanika kwa msamba (perineal tear) au kukaza kwa misuli kupita kiasi ambapo huweza kupelekea sehemu ya haja kubwa kuchanika.

Mama mjamzito ataongezewa njia ili kumlinda mtoto, ikiwa mtoto ametanguliza uso, makalio au kiungo tofauti na kichwa, katika hali kama hii njia inaweza kuongezwa ikiwa haitoshi kupitisha mtoto huyo.

Insta-Reflectors.jpg
 
Back
Top Bottom