Kuongezwa kwenye makundi ya shughuli/sherehe bila ridhaa ni kero

Seran

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
36,315
Reaction score
104,500
79F5C593-8123-421C-B83C-9DE57BC4BA0E.jpeg

Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? 😅

Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si vibaya kuuliza kwanza kabla ya kuongeza mtu kwenye kundi la michango. Maisha ni magumu, commitment ziko nyingi, si kila mtu yuko sawa muda wote 🙏🏽
Sasa hapa nashindwa jinsi ya kutoka, ukituma elfu 10 napo ni kama umedharau!😬

Wenzangu mnalichukuliaje hili jambo? Tuongee kwa upole tu ❤️
 
View attachment 3482014Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? 😅

Ndoa ni swala la kwenda kukutanisha sehemu za siri, wadau msifanye hilo tendo liwe la kutumbua hela za watu kwa kuwachangisha.
 
Mkuu umejaribu kumpiga sound bibi harusi?

Inaweza kukusaidia kama ni mwanaume
 
Set ile ya setting ya mti hawez kuku add katika kundi lolote la whatsapp hadi akutumie link na ulidhie mwenyewe kujiunga
Nifundisheni mkuu!
 
Ndoa ni swala la kwenda kukutanisha sehemu za siri, wadau msifanye hilo tendo liwe la kutumbua hela za watu kwa kuwachangisha.
Uko sahihi kabisaaa🙌🏾
 
Hilo ni tatizo Kwa Watanzania wengi, mtu hamjawasiliana miaka 10, lakini ghafla umejumuishwa kwenye kikundi cha michango yake 🙌

Inapelekea watu kuhaidi uongo kisha kuleft group

Nje ya mada;
Nimezoom hiyo picha, Kwa kweli huyo Amina, anasababu zote hata Mimi Babu yake nimchangie

Nipo tayari kumchangia bila kushurutishwa 🤗
 
Tatizo lako babu @Grahams ndio hilo! Kutoka nje ya mada 😬
Sawa changia nimtumie..!
 
Hilo ni tatizo Kwa Watanzania wengi, mtu hamjawasiliana miaka 10, lakini ghafla umejumuishwa kwenye kikundi cha michango yake 🙌

Inapelekea watu kuhaidi uongo kisha kuleft group

Nje ya mada;
Nimezoom hiyo picha, Kwa kweli huyo Amina, anasababu zote hata Mimi Babu yake nimchangie

Nipo tayari kumchangia bila kushurutishwa 🤗
😃😃😃 Umezoom nyash
 
Back
Top Bottom