Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Of course ina discourage sanaMtu wa hivi hata akiniweka kwenye group sitoi 100 yangu
Juzi kuna mtu amenifanyia hivyo pia, baada ya kutowasiliana miaka 15 akaniunga kwenye group na kutakiwa kuhaidi 🙌
Kwa kweli inahitaji moyo sana kuwa na marafiki wa hivi