Ndoa ni swala la kwenda kukutanisha sehemu za siri, wadau msifanye hilo tendo liwe la kutumbua hela za watu kwa kuwachangisha.View attachment 3482014Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? π
Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si vibaya kuuliza kwanza kabla ya kuongeza mtu kwenye kundi la michango. Maisha ni magumu, commitment ziko nyingi, si kila mtu yuko sawa muda wote ππ½
Sasa hapa nashindwa jinsi ya kutoka, ukituma elfu 10 napo ni kama umedharau!π¬
Wenzangu mnalichukuliaje hili jambo? Tuongee kwa upole tu β€οΈ
Mkuu umejaribu kumpiga sound bibi harusi?View attachment 3482014Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? π
Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si vibaya kuuliza kwanza kabla ya kuongeza mtu kwenye kundi la michango. Maisha ni magumu, commitment ziko nyingi, si kila mtu yuko sawa muda wote ππ½
Sasa hapa nashindwa jinsi ya kutoka, ukituma elfu 10 napo ni kama umedharau!π¬
Wenzangu mnalichukuliaje hili jambo? Tuongee kwa upole tu β€οΈ
Mkuu hujaona send off ya Amina. Muage bi harusi na kiagioMkuu umejaribu kumpiga sound bibi harusi?
Inaweza kukusaidia kama ni mwanaume
Sawa changia nimtumie..!Tatizo lako babu @Grahams ndio hilo! Kutoka nje ya mada π¬
πππ Umezoom nyashHilo ni tatizo Kwa Watanzania wengi, mtu hamjawasiliana miaka 10, lakini ghafla umejumuishwa kwenye kikundi cha michango yake π
Inapelekea watu kuhaidi uongo kisha kuleft group
Nje ya mada;
Nimezoom hiyo picha, Kwa kweli huyo Amina, anasababu zote hata Mimi Babu yake nimchangie
Nipo tayari kumchangia bila kushurutishwa π€
Settings, privacy, groups, chagua my contacts except, then select majina yako yote, utakua unakuja ku update mara kwa mara kadri unavyo add contacts mpya kwny phone book yakoN
Naomba kuelekezwa hii asee..!
Unaleft kimya kimya, hakuna atakaejua tofauti na aliekuunga ,,,admin
Kwa kweli yaliyomo yamo π€πππ Umezoom nyash