Kuongezwa kwenye makundi ya shughuli/sherehe bila ridhaa ni kero

Sett
Settings, privacy, groups, chagua my contacts except, then select majina yako yote, utakua unakuja ku update mara kwa mara kadri unavyo add contacts mpya kwny phone book yako
Wabheja sana!
 
Kama kweli unania ya kuchangia toa mchango na ueke wazi huo ni mchango wala huitaji kuhudhuria
 
- Unamacho makali kuliko hata kijana. Yaani unauwezo wa kuzoom hata picha isiyo clear, na hapo hujavaa miwani. Kongole kwako.
😅😅 Huyo Amina alifanya nitumie miwani yangu yenye lens kali kuweza kukamilisha ukaguzi

Kwa kweli anastahili michango yetu Wazeee
 
Mtu wa hivi hata akiniweka kwenye group sitoi 100 yangu
 
Kuwekwa kwenye kundi ni namna tu ya kukujulisha shughuli ijayo. Sivyo kama ilivyokuwa zamani kabla ya namna hii ya mawasiliano kuwepo, wakati ilibidi mtu aje muonane uso kwa uso kukujulisha. Jee, zama hizo, uliweza kulalamika kwa nini mtu anakuja kukujulisha wakati hali yako ya kuweza kuchangia ni mbovu?
 
Zamani sikuwepo, kwaio siwezi kujua walifanyaje! Na kumuweka mtu kweye makundi ya kujiingiza kwenye matatizo yajayo in terms of ndoa sjui nini bila kunitaarifu! Ni haki ya kulalamika, pesa ni yangu haki zote ninazo!
 
Nimefanya hili kosa last week kumchangia classmate ambaye hatuna story since 2013 tulivyomaliza o level.

Sitorudia hili kosa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…