Of course ina discourage sanaMtu wa hivi hata akiniweka kwenye group sitoi 100 yangu
Sio mbaya Mkuu, umeongeza udugu na jamaaNimefanya hili kosa last week kumchangia classmate ambaye hatuna story since 2013 tulivyomaliza o level.
Sitorudia hili kosa tena.
Huyo ndiye Amina mwenyewe, hujaona alivyo na kishepu cha kutukamata sisi Wastaafu 😜Huyo nadhani sio amina. Hiyo ni wallpaper ya sim ya huyu mjumbe. Naam ama kwa hakika amejaaliwa😋
Hapo bado hujaweka msg za ku-share zinazoingia kila sekunde. Kila sekunde unasikia mlio wa msg member ka-forward jambo. Na mambo mengi ni upuuzi, conspiracy za ajabu ajabu na ''dawa'' za ''kutibu'' kila magonjwa. Bila kusahau graphic images nk... Mimi haya ma-group nilishajitoa zamani mno.Hilo ni tatizo Kwa Watanzania wengi, mtu hamjawasiliana miaka 10, lakini ghafla umejumuishwa kwenye kikundi cha michango yake 🙌
Inapelekea watu kuhaidi uongo kisha kuleft group
Nje ya mada;
Nimezoom hiyo picha, Kwa kweli huyo Amina, anasababu zote hata Mimi Babu yake nimchangie
Nipo tayari kumchangia bila kushurutishwa 🤗
Mi nmeyamute yote!Hapo bado hujaweka msg za ku-share zinazoingia kila sekunde. Kila sekunde unasikia mlio wa msg member ka-forward jambo. Na mambo mengi ni upuuzi, conspiracy za ajabu ajabu na ''dawa'' za ''kutibu'' kila magonjwa. Bila kusahau graphic images nk... Mimi haya ma-group nilishajitoa zamani mno.
Kuna setting unafunga, hakuna mtu atakuadd mpaka akutumie link
usifungue hilo group mpaka wamalize shughuli yao.View attachment 3482014
Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? 😅
Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si vibaya kuuliza kwanza kabla ya kuongeza mtu kwenye kundi la michango. Maisha ni magumu, commitment ziko nyingi, si kila mtu yuko sawa muda wote 🙏🏽
Sasa hapa nashindwa jinsi ya kutoka, ukituma elfu 10 napo ni kama umedharau!😬
Wenzangu mnalichukuliaje hili jambo? Tuongee kwa upole tu ❤️
Ulijitoa kwa namna gani?Hapo bado hujaweka msg za ku-share zinazoingia kila sekunde. Kila sekunde unasikia mlio wa msg member ka-forward jambo. Na mambo mengi ni upuuzi, conspiracy za ajabu ajabu na ''dawa'' za ''kutibu'' kila magonjwa. Bila kusahau graphic images nk... Mimi haya ma-group nilishajitoa zamani mno.
Ilikuwa ni fahari ya macho tu Mjukuu, si unajua sisi Wazee hatuna meno ya kuvunja mifupa 🤗Mzee punguza ulafi😃
😅Umri umetutupa MkonoHee kumbe tena hamna meno🤭