kaakaa mkubwa ujue kila mtu ana haki ya kutafuta madaraka ujue uyo inafaaa ang'olewe aingie mwingine wenda anae ingia atafanya mazur zaid....so ukisema aongezeee unawanyima chance wengine !Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
never and ever.. yeye mwenyewe kashakwambia haongezi.. nyie mnajifanya vijumbe sana, ehRais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Oya mwanangu, tulikutana jukwaa la biashara na uchumi ukilalamika kutokua na mtaji wa 1.6M. 🤔🤔Magufuli aliposema omba kwa ajili ya janga la corona ulimkejeli.
Sasa hivi unajifanya kumjua sana Mungu na kunukuu maandio!
Mpka oktoba lazima nguo za ndani mvae kichwani.
Wapo wa Tz wengine wengi ndani na nje ya CCM, wenye uwezo zaidi ya Magu, wanaweza kuongoza na kufanywa makubwa zaidi yake tena bila kuteka, kuuwa, wala kuleta farka kwenye jamii.Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Kuteka na kupoteza watu, kutunga sheria kandamizi, kama za bodi ya mikopo na mifuko ya hifadhi za jamii, kulazimisha sheria zifanye kazi kwa kurudi nyuma.Hiyo kazi kubwa mnayoimba kila siku humu ni kazi gani amefanya?mbona sisi wananchi wakaida hatuoni maendeleo yoyote,Acheni ujinga hakuna kitu cha ajabu Magufuli amewafanyia watanzania zaidi kuongeza chuki.
Lile jamaa bichwa kama kiboko linafiki linajipendekeza kwa ajili ya kupitishwa kongwa wananchi wake hawalipendiIlianza kama story ila sasa tunapoelekea naona hili swala lishapita na lazima litokee hivi mimi naomba nikuulize ndugai na CCM yako hivi mmefikiria umbali kiasi gani? au nyie mnawaza maisha yenu tu ya watoto wenu na wajukuu wenu hamuyawazii?
Haiingii akilini kabisa mtu anaongea kwamba hatuwezi pata mtu kama JPM tena! hivi mko serious kweli nyie? kweli hii nchi yenye watu milioni 60+ asipatikane mtu kama kama yeye?
Kama mnaajenda zenu binafsi mseme lakini hoja hizo hazina mashiko, hivi mkiweka ukomo wa Rais maybe ikawa ni mihula minne hivi mnajua huko mbeleni mtakuja kuongozwa na Rais gani? mfano Rais aongoze kwa mihula minne hivi ikitokea akaja akapatikana Rais mbovu hii nchi itawekwa kwenye hali gani?
mimi ninaamini hata JPM mwenyewe hawezi kukubali lazima ataiheshimu katiba!
Hii nchi imeongozwa hata kabla yake na itaendelea hata baada yake, sisi wananchi hatukuwatuma hivyo, hayo ni maoni yenu binafsi sio ya wananchi mnaowawakilisha!
Hivi Spika Ndugai wanakongwa ndio wamekutuma hivyo? mpo bungeni kuwakilisha mawazo ya wananchi wenu waliyowaagiza sio kuwakilisha mawazo yenu msijisahau
Kweli JPM anafanya kazi nzuri sana lakini kwa swala la kuongezewa muda hapana kwakweli
Hakuna Muislam ataruhusu UPUMBAVU huo.
Nchi hii si ya WAKRISTO pekee.
Hamna kitu amefanya alaf kuna mijitu kutwa kusifia utafikifir wake zaoKuteka na kupoteza watu, kutunga sheria kandamizi, kama za bodi ya mikopo na mifuko ya hifadhi za jamii, kulazimisha sheria zifanye kazi kwa kurudi nyuma.