Tulimuomba Mungu aondoe COVID-19,tutamuomba MUNGU huyo huyo washindwe kwa njia yoyote kuongeza muda..kama wanafikiri Mubgu alisikia maombi ya ya COVID-19 na mengine hatasikia wanajidanganya
fuateni katiba acheni kujipendekeza na ulafi wa madarakaRais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Haya yanapagw gizan ila tambuwen mwanga utawaumbuwa.Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Tena kwa wote wanaotaka kufanya ujinga huo[emoji848]View attachment 1474168
Ndugai ni Speaker wa ajabu sanaIlianza kama story ila sasa tunapoelekea naona hili swala lishapita na lazima litokee hivi mimi naomba nikuulize ndugai na CCM yako hivi mmefikiria umbali kiasi gani? au nyie mnawaza maisha yenu tu ya watoto wenu na wajukuu wenu hamuyawazii?
Haiingii akilini kabisa mtu anaongea kwamba hatuwezi pata mtu kama JPM tena! hivi mko serious kweli nyie? kweli hii nchi yenye watu milioni 60+ asipatikane mtu kama kama yeye?
Kama mnaajenda zenu binafsi mseme lakini hoja hizo hazina mashiko, hivi mkiweka ukomo wa Rais maybe ikawa ni mihula minne hivi mnajua huko mbeleni mtakuja kuongozwa na Rais gani? mfano Rais aongoze kwa mihula minne hivi ikitokea akaja akapatikana Rais mbovu hii nchi itawekwa kwenye hali gani?
mimi ninaamini hata JPM mwenyewe hawezi kukubali lazima ataiheshimu katiba!
Hii nchi imeongozwa hata kabla yake na itaendelea hata baada yake, sisi wananchi hatukuwatuma hivyo, hayo ni maoni yenu binafsi sio ya wananchi mnaowawakilisha!
Hivi Spika Ndugai wanakongwa ndio wamekutuma hivyo? mpo bungeni kuwakilisha mawazo ya wananchi wenu waliyowaagiza sio kuwakilisha mawazo yenu msijisahau
Kweli JPM anafanya kazi nzuri sana lakini kwa swala la kuongezewa muda hapana kwakweli
Awamu ya I iliona mbali chini ya uongozi wa Mwalimu Nyerere. Hadi sasa Nyerere ndiye ana rekodi ya kuhudumu nafasi ya urais kwa muda mrefu.Ilianza kama story ila sasa tunapoelekea naona hili swala lishapita na lazima litokee hivi mimi naomba nikuulize ndugai na CCM yako hivi mmefikiria umbali kiasi gani? au nyie mnawaza maisha yenu tu ya watoto wenu na wajukuu wenu hamuyawazii?
Haiingii akilini kabisa mtu anaongea kwamba hatuwezi pata mtu kama JPM tena! hivi mko serious kweli nyie? kweli hii nchi yenye watu milioni 60+ asipatikane mtu kama kama yeye?...
Ameonyesha udhaifu mkubwa!! Hana sifa za kuwa kiongozi.!! Hivi CCM wanawatoaga wali watu kama hawa!!Ndugai ni Speaker wa ajabu sana
Mkuu yawezekana naye anapenda kisifu ya kijinga hatuwezi kujua...Ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kuwa awe makini sana na watu ambao kila kukicha wanapenda kumsifia tu pasipo hata kumtahadharisha. Akiwafuata watu wa namna hiyo, basi ajue kuwa anaikaribisha hasira ya Mungu kwake mwenyewe na kizazi chake!
Hatuna awamu humu!!Tunaojua dadili za ngoma kupasuka basi yetu macho...ila jamani serikali hii imetia aibu ya kimataifa, ushamba na ukatili wa hawa watu sasa ndio unajulikana nchi nzima, mengine siri yangu kwa sasa.
Unabii wa mange kimambi unaelekea kutimiaRais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Labda aje amuongoze mke wako.Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana